Luaga Mpina, mbunge wa Kisesa sifa za kijinga na kutafuta cheap popularity zimekuponza

Huna lolote.


MPINA shikilia hapohapo, haya majizi mpaka yaabike.



Shahidi alizotoa Mpina, hamna ya kughushi.


Nyambafu
 
Vyote unavyofanya wewe kama chawa na wanaokulipa ni kama headline yako inavyosema. "Wewe, Tulia,SSH ndio mnatafuta sifa za kijinga hampo upande wa Wananchi, maslahi ya Taifa".
 
Njaa inakusumbua. Unatetea ujinga ili update teuzi . Very stupid.
 
Acha ujinga wewe chawa mpumbavu!!!
 
Washirika wa mafisadi naona leo mko fasta kufungua nyuzi za kumshambulia Mpina. Ama kweli mafisadi yana umoja.
 
Washirika wa mafisadi naona leo mko fasta kuifungua nyuzi za kumshambulia Mpina. Ama kweli mafisadi yana umoja.
Mpina kachokoza mzinga wa nyuki.
Tutajifunza mengi sana kutokana na jambo hili.
 
Mpina kawashika Mapaimbu, anachofanya ni kubinya tu kidogo vinasikika vilio vya Yalaaaa!
 
Kama hadi Kipara mwenyewe unakubali Nondo za Mpina mi nani nipinge.
 
Mpina aliuliza katika ile ripoti wewe uko mkoa gani na wilaya gani ambayo mlinunua sukari elfu 10...ndo yaleyale anayo shutumiwa Bashe kudanganya bunge mara 18 na wewe unakuja kutudanganya hapa. Wananchi siyo wajinga kama mnavyodhani. Mpina kauliza maswali magumu mnajitokeza na majibu mepesi.
 
⚖️Justice for Asimwe#
 
Waovu Mna jitetea.Mazwazwa nyie.
 
Kuwa Mzalendo kwa Nchi yako, kataa rushwa na dhuluma, tetea haki, usawa na utawala bora kwa maslahi ya Taifa
 
Pumbavu kabisa wewe, kama Bashe kakutuma mwambie wamekataa
 
Who is this guy?
 
Mtoa post hana tofauti na uchafu wa maliwatoni

Nchi inateketezwa na mafisadi mbunge anafanya kazi yake ya kuweka uozo hadharani wewe ngumbaro unakuja kuharisha upumbavu apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…