Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Licha ya kutafuta sana mitandaoni sijafanikiwa kuona kazi za hapa karibuni kutoka kwa hawa wadada wawili, kazi zao ni zile zile za zamani.
Hivi bado wapo kwenye tasnia au walishastaafu?
Hivi bado wapo kwenye tasnia au walishastaafu?