Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Hili nalo geni swalaLicha ya kutafuta sana mitandaoni sijafanikiwa kuona kazi za hapa karibuni kutoka kwa hawa wadada wawili, kazi zao ni zile zile za zamani.
Hivi bado wapo kwenye tasnia au walishastaafu?