Tuna kila sababu ya kumpongeza Imani Lubaba, mwanzilishi wa @RubabaMedia, kwa kuteuliwa kuwania tuzo ya EAST AFRICA YOUTH AGRIPRENEUR EXCELLENCE AWARD kwenye maonesho ya East Africa Expo yatakayofanyika Zanzibar kuanzia tarehe 6 hadi 8 August 2025! ππΉπΏ
π Mpigie kura kwa hatua hizi mbili:
β
Hatua ya 1:
Fungua link hii π
VOTING FORM Γ’ East Africa Youth Business & Investment Expo 2025 Awards
β‘οΈ Chagua kipengele cha EAST AFRICA YOUTH AGRIPRENEUR EXCELLENCE AWARD
β‘οΈ Chagua jina la IMANI LUBABA
β‘οΈ Kisha submit
β
Hatua ya 2:
Like picha hii kwenye Instagram π
View: https://www.instagram.com/p/DK-LRsoNR-r/?igsh=a2RjcjZxOG9yYXNhβ‘οΈ Kupitia like hiyo, tayari umepiga kura nyingine! β€οΈ
π’ Kura yako ni sauti ya mabadiliko! Tumuunge mkono kijana huyu shujaa wa kilimo kutoka Tanzania! πΎπͺ
#TeamLubaba #EastAfricaExpo2025 #AgripreneurExcellence #RubabaMedia #YouthInAgriculture