Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,528
berto0406 na Superbrand MMEJENGA HOJA NZURI KISHERIA.... Lakini Je:
Kuna uhalisia gani wa tuhuma walizotoa(with proof beyond resonable doubt)
Hamuoni wanatumia udhaifu wa sheria walizotunga wao kumanipulate na kuharibu uchaguzi ili ulete matokeo yawafaao wao(CCM)?
Ni dhahiri Marekani na Uingereza ni washirika wakubwa na wazuri wa SERIKALI YA ccm(tz bara na Visiwani) na zipo hali ya nchi hizo kutoMUAMINI SANA Maalim(Kwa hisia ama shaka ya ukaribu wake na Nchi zenye misimamo mikali pamoja na Mambo ya Kigaidi),,Sasa kwa nini hata wao wakemee na kutoridhishwana mwenendo mzima wa Hatua zilizochukuliwa na Jecha(Naamini si ZEC)?
Sehemu ya wanakamati/wajumbe wa ZEC kutoka hadharani na kutokukubaliana na Bw.Jecha nini maoni yenu..?Kwa nini Wao waonekane wamekosea na Bw. Jecha aonekane yuko sawa....?
Majibu yenu tafadhari.....