Lubuva anatangaza matokeo ya rais wa nchi gani ??

Lubuva anatangaza matokeo ya rais wa nchi gani ??

berto0406 na Superbrand MMEJENGA HOJA NZURI KISHERIA.... Lakini Je:
Kuna uhalisia gani wa tuhuma walizotoa(with proof beyond resonable doubt)
Hamuoni wanatumia udhaifu wa sheria walizotunga wao kumanipulate na kuharibu uchaguzi ili ulete matokeo yawafaao wao(CCM)?
Ni dhahiri Marekani na Uingereza ni washirika wakubwa na wazuri wa SERIKALI YA ccm(tz bara na Visiwani) na zipo hali ya nchi hizo kutoMUAMINI SANA Maalim(Kwa hisia ama shaka ya ukaribu wake na Nchi zenye misimamo mikali pamoja na Mambo ya Kigaidi),,Sasa kwa nini hata wao wakemee na kutoridhishwana mwenendo mzima wa Hatua zilizochukuliwa na Jecha(Naamini si ZEC)?
Sehemu ya wanakamati/wajumbe wa ZEC kutoka hadharani na kutokukubaliana na Bw.Jecha nini maoni yenu..?Kwa nini Wao waonekane wamekosea na Bw. Jecha aonekane yuko sawa....?
Majibu yenu tafadhari.....
 
Matokeo ni ya jamhuri ya Muungano wa Tz,yalofutwa ni ya zenj hayana uhusiano kabisaaa wasimamizi tofauti,vitambulisho tofauti daftari la wapiga kura tofauti na mamlaka zilizosimamia ni tofauti

swali:Umejiridhisha yalifaa kufutwa?
Kwa nini uamini sababu zilizotolewa na Jecha na usitilie shaka la lengo la Kuibeba CCM......
Maana sababu nyingi alizotoa ilibidi zifahamike hata kabla ya kuanza kutangaza Matokeo........
Sababu kama Kupigwa kwa baadhi ya Wanachama wa TADEA,Kuongezwa kwa idadi ya wapiga kura na nyinginezo zingefahamika mapema tu...
 
Wanasheria naomba msaada wenu kujua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anatangaza matokeo ya uchaguzi wa Tanganyika ama wa Tanzania ? Kama ni wa tanzania mbona uchaguzi wa Zanzibar ulishafutwa ??

Swali...

Je kuna uhalali wowote wa yeye kuendelea kutangaza matokeo wakati upande mmoja wa muungano umeshafuta matokeo yake ?? Ama haya matokeo anayoyatangaza ni ya uchaguzi wa Tanganyika tuu ??

Naomba msaada wenu wakuu maana uwelewa wangu ni mdogo kuhusu hili swala..

Bado una maswali?
 
Nec si zec.urais wa muungano unasimamiwa nec hivyo kauli ya zec ni kwa uchaguzi unahusu serikali ya mapinduzi ya znz si serikali ya muungano
Hapa ndipo penye ugumu...je vituo vya kupigia kura vya NEC ni tofauti na vya ZEC...na wasimamizi ni namna gani??????
 
Back
Top Bottom