Luc Eymael: Yanga haijafungiwa kama mitandao ya kijamii inavyoripoti

Luc Eymael: Yanga haijafungiwa kama mitandao ya kijamii inavyoripoti

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Dar es Salaam. Kocha wa zamani wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa timu hiyo haijafungiwa kusajili madirisha matatu na Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kwa kosa la kuchelewa kumlipa madai yake.

Na badala yake, Eymael ameiambia Mwanaspoti kuwa uamuzi uliotolewa na FIFA ni kuishinikiza Yanga kulipa madai yake ili isikumbane na adhabu hiyo.

Kauli hiyo ya Eymael imekuja muda mfupi baada ya mtandao mmoja wa Afrika Kusini kudai kuwa Yanga imefungiwa kusajili kwa madirisha matatu kwa kosa la kutomlipa kocha huyo.

Source mwananchi.

Aise hii ni habari mbaya sana kwa mapopoma ya jamii forum yanayopenda kukurupuka.

Screenshot_20230317-082318.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yanga mnatia aibu ndomana faeitoto haitaki mnamlazimisha ale ugali na sukari😅timu yenye hela inazinguaje kulipa wanaodai stahiki zao?si inadhaminiwa na tajiri gsm eeh au?
 
Yanga mnatia aibu ndomana faeitoto haitaki mnamlazimisha ale ugali na sukari😅timu yenye hela inazinguaje kulipa wanaodai stahiki zao?si inadhaminiwa na tajiri gsm eeh au?
Lipeno watu hela zao manyani fc
Aibu naona mimi. 🙈

All in all, nawapongeza kwa ujasiri wenu. Maana wale ndugu zenu wengime wataishia tu kuusoma huu uzi na kupita kimya kimya kutokana na kujawa na aibu.
 
Back
Top Bottom