NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Dar es Salaam. Kocha wa zamani wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa timu hiyo haijafungiwa kusajili madirisha matatu na Shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) kwa kosa la kuchelewa kumlipa madai yake.
Na badala yake, Eymael ameiambia Mwanaspoti kuwa uamuzi uliotolewa na FIFA ni kuishinikiza Yanga kulipa madai yake ili isikumbane na adhabu hiyo.
Kauli hiyo ya Eymael imekuja muda mfupi baada ya mtandao mmoja wa Afrika Kusini kudai kuwa Yanga imefungiwa kusajili kwa madirisha matatu kwa kosa la kutomlipa kocha huyo.
Source mwananchi.
Aise hii ni habari mbaya sana kwa mapopoma ya jamii forum yanayopenda kukurupuka.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app