Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 8,000
- 16,414
Leo Lucas kaanzisha Thread anasema Mama amebadilisha maisha ya Watanzania
Mimi nikamjibu kwa picha kumuonesha maisha ya Watanzania
Sasa hizi ni picha za Mbeya, nimemwonesha akauona umasikini hadi akashangaa akaanza kusema ni picha za mitandaoni na sio picha halisi za Tanzania
The fact kwamba amesema ni picha za mitandaoni za nchi nyingine nadhani ameona jinsi Tanzania ilivyo ovyo
Na ukizingatia picha ya tatu ina bango kabisa limeandikaa Mbeya
Hizi picha nimezipiga kwa simu yangu last week na before
Ukigusa kila picha uone information zake, utaona hapo zimeoneshwa mwaka na tarehe ambayo picha imepigwa. Zote zimepigwa May 2026, hapahapa Mbeya
Lucas Mwashambwa anamsifia tu Samia kumbe hajui hata Tanzania ikoje maeneo mengine. Inaonekana hajui nchi ilivyo nje ya Dar na Dodoma
Picha hizi hapa, hadi chawa kazishangaa, haamini kama hii ni Tanzania