Huyo Lucas si ID nyingine ya Popoma kwahiyo Huyo anaropoka ropoka tu anavyojisikia ili kuuendeleza tu uchawa wake
Sasa anaowafanyiaga uchawa wenyewe wanasema picha na video za Oct29 ni za Ghaza na siyo Tanzania. Wanafikia hatua kusema ni za kutengenezwa na AI. Jamaa si kwamba hajui ila ameathiliwa na akili za anaowafanyia uchawa, hawezi kwenda kinyume na kazi anayolipwa maana yeye yupo kitengo cha mapambio so hawezi kukubali ukweli hata kama uko wazi.Leo Lucas kaanzisha Thread anasema Mama amebadilisha maisha ya Watanzania
Mimi nikamjibu kwa picha kumuonesha maisha ya Watanzania
View attachment 3593693
Sasa hizi ni picha za Mbeya, nimemwonesha akauona umasikini hadi akashangaa akaanza kusema ni picha za mitandaoni na sio picha halisi za Tanzania
View attachment 3593692
The fact kwamba amesema ni picha za mitandaoni za nchi nyingine nadhani ameona jinsi Tanzania ilivyo ovyo
Na ukizingatia picha ya tatu ina bango kabisa limeandikaa Mbeya
Hizi picha nimezipiga kwa simu yangu last week na before
Ukigusa kila picha uone information zake, utaona hapo zimeoneshwa mwaka na tarehe ambayo picha imepigwa. Zote zimepigwa May 2026, hapahapa Mbeya
Lucas Mwashambwa anamsifia tu Samia kumbe hajui hata Tanzania ikoje maeneo mengine. Inaonekana hajui nchi ilivyo nje ya Dar na Dodoma
Picha hizi hapa, hadi chawa kazishangaa, haamini kama hii ni Tanzania
View attachment 3593694View attachment 3593695View attachment 3593696View attachment 3593697View attachment 3593698View attachment 3593699
Unapoteza muda wako bure. Mwosha Mbwa ni mgonjwa wa akili. Samuya hata akijamba, yeye atashangilia!Leo Lucas kaanzisha Thread anasema Mama amebadilisha maisha ya Watanzania
Mimi nikamjibu kwa picha kumuonesha maisha ya Watanzania
View attachment 3593693
Sasa hizi ni picha za Mbeya, nimemwonesha akauona umasikini hadi akashangaa akaanza kusema ni picha za mitandaoni na sio picha halisi za Tanzania
View attachment 3593692
The fact kwamba amesema ni picha za mitandaoni za nchi nyingine nadhani ameona jinsi Tanzania ilivyo ovyo
Na ukizingatia picha ya tatu ina bango kabisa limeandikaa Mbeya
Hizi picha nimezipiga kwa simu yangu last week na before
Ukigusa kila picha uone information zake, utaona hapo zimeoneshwa mwaka na tarehe ambayo picha imepigwa. Zote zimepigwa May 2026, hapahapa Mbeya
Lucas Mwashambwa anamsifia tu Samia kumbe hajui hata Tanzania ikoje maeneo mengine. Inaonekana hajui nchi ilivyo nje ya Dar na Dodoma
Picha hizi hapa, hadi chawa kazishangaa, haamini kama hii ni Tanzania
View attachment 3593694View attachment 3593695View attachment 3593696View attachment 3593697View attachment 3593698View attachment 3593699
bora anyamaze tu itakuwa bora zaid, yan nikiikuta ID yake nakuwa na mashaka kabla ya kusoma anacho comment .
Hiv kuna mtu ana picha ya Lucas Mwashambwa ? Aiweke hapa tumuone.
Nmeishi blok T hapo longtime,tuna nyumba ya familia hukoLabda mwisho wa wiki hii nikipata muda nitaenda
Kulikuwa na bakery pia 😄Labda mwisho wa wiki hii nikipata muda nitaenda
Hahaa Iyunga Industrial area. Ila Tanzania!