In a world increasingly fractured by ideological hostilities and digital antagonism, Lucas Mwashambwa’s unwavering commitment to addressing even his fiercest critics as “my fellow Tanzanians” is not merely an act of rhetorical courtesy — it is a rare embodiment of gospel-centered grace. His posture reminds us that true greatness lies not in intellectual dominance, but in the quiet strength to love beyond offense, and to recognize kinship where others see enmity. In this, he does not only speak like a brother; he lives like a disciple.Hapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa mara kwa mara, bado haachi kuwaona wakosoaji wake kuwa ni "ndugu zake"
Ni rahisi sana kuwapenda wanaokupenda, kuwasifu wanaokusifia, na kutoa tabasamu kwa wale wanaokupongeza. Lakini inahitaji moyo uliojaa neema, imani na unyenyekevu mkubwa kuendelea kuwaita wanaokubeza kuwa ni “ndugu.” Hiki ndicho kinachomtofautisha Lucas Mwashambwa na wengi wetu. Anaishi kama Maandiko yanavyotufundisha tuishi.
Yesu alisema:
“Lakini nawaambieni nyinyi mnaonisikiliza, wapendeni maadui zenu, watendeeni mema wale wanaowachukieni. Watakieni baraka wale wanaowalaani, na waombeeni wale wanaowatendea vibaya.."(Luka 6:27-28)
Akaongeza tena:
“Na ikiwa mnawapenda tu wale wanaowapenda nyinyi, je, mtapata tuzo gani? Hakuna! Kwa maana hata wenye dhambi huwapenda wale wanaowapenda wao.." (Luka 6:32)
Lucas Mwashambwa kwa kuendelea kuwaita “ndugu zangu Watanzania” wale wanaomshambulia, anatimiza kwa vitendo maagizo matakatifu ya Yesu. Ndio sababu nasema huyu ni mfano bora wa kuigwa, kwa sababu anajua kuuenzi utu hata pale ambapo wengine wanamnenea mabaya. Lucas Mwashambwa anatambua wazi kwamba tofauti za mawazo hazipaswi kufuta undugu wetu wa kibinadamu.
Lucas Mwashambwa, ametufundisha kwa vitendo kwamba mtu anaweza kutetea mtazamo wake bila chuki. Anaweza kupingwa bila kulipiza kisasi, na anaweza kuendelea kuona thamani ya wale wanaomtusi , kwa sababu ndani yake, anawaona kuwa ni ndugu zake.
Nimeona niandike uzi huu kwa sababu Biblia inanihimiza kufanya hivyo katika kitabu cha Wafilipi 4:8.
Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yapendezayo, yo yote yenye sifa njema, ukiwapo wema wo wote, na sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo."
Iwapo kwenye uchawa na upungufu wa uzalendo wa kweli itakuwa sawa!Hapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa mara kwa mara, bado haachi kuwaona wakosoaji wake kuwa ni "ndugu zake"
Ni rahisi sana kuwapenda wanaokupenda, kuwasifu wanaokusifia, na kutoa tabasamu kwa wale wanaokupongeza. Lakini inahitaji moyo uliojaa neema, imani na unyenyekevu mkubwa kuendelea kuwaita wanaokubeza kuwa ni “ndugu.” Hiki ndicho kinachomtofautisha Lucas Mwashambwa na wengi wetu. Anaishi kama Maandiko yanavyotufundisha tuishi.
Yesu alisema:
“Lakini nawaambieni nyinyi mnaonisikiliza, wapendeni maadui zenu, watendeeni mema wale wanaowachukieni. Watakieni baraka wale wanaowalaani, na waombeeni wale wanaowatendea vibaya.."(Luka 6:27-28)
Akaongeza tena:
“Na ikiwa mnawapenda tu wale wanaowapenda nyinyi, je, mtapata tuzo gani? Hakuna! Kwa maana hata wenye dhambi huwapenda wale wanaowapenda wao.." (Luka 6:32)
Lucas Mwashambwa kwa kuendelea kuwaita “ndugu zangu Watanzania” wale wanaomshambulia, anatimiza kwa vitendo maagizo matakatifu ya Yesu. Ndio sababu nasema huyu ni mfano bora wa kuigwa, kwa sababu anajua kuuenzi utu hata pale ambapo wengine wanamnenea mabaya. Lucas Mwashambwa anatambua wazi kwamba tofauti za mawazo hazipaswi kufuta undugu wetu wa kibinadamu.
Lucas Mwashambwa, ametufundisha kwa vitendo kwamba mtu anaweza kutetea mtazamo wake bila chuki. Anaweza kupingwa bila kulipiza kisasi, na anaweza kuendelea kuona thamani ya wale wanaomtusi , kwa sababu ndani yake, anawaona kuwa ni ndugu zake.
Nimeona niandike uzi huu kwa sababu Biblia inanihimiza kufanya hivyo katika kitabu cha Wafilipi 4:8.
Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yapendezayo, yo yote yenye sifa njema, ukiwapo wema wo wote, na sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo."
You may have dismissed it as rubbish, yet I shall not retract the dignity with which I regard you. I still call you a brother. For that is the quiet nobility Lucas Mwashambwa exemplifies: responding to contempt not with retaliation, but with unwavering courtesy rooted in conviction. 😎Rubbish post
Kama hujaona Injili kwenye bandiko hilo basi wewe kweli ni ndege JOHNAcha kumsifia binadamu anayekufa na kuoza endelea na kazibya kuhubiri injili isiyofifia
Mlaaniwe mnaoamini wanasiasa wakati NI wazi ndio wadhalimu wenyeweKama hujaona Injili kwenye bandiko hilo basi wewe kweli ni ndege JOHN
Naona umekuja kujinadi kwa kutumia ID nyingine ya Dada yako.Hapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa mara kwa mara, bado haachi kuwaona wakosoaji wake kuwa ni "ndugu zake"