Naunga hojaNonsense
Stupid
Acha uongo ndugu yangu. Uongo ni dhambiNaona umekuja kujinadi kwa kutumia ID nyingine ya Dada yako.
Kwa hiyo kwa akili ya kawaida unategemea utajibu kwa hasira na kufokafoka ilhali unajua kabisa una matarajionya teuzi.
yai hili kakaNi sawa na wewe unavojaribu kunichoma kwa maneno makali yenye kuliza ndani yake but still am strong...
Labda nikwambie tuu there is no force or energy in the universe which can break down the bond of love.....
Bond of love is Great than all bond including hydrogen bond, Corbon bond all electrovalent bond
Neither jf nor people can destroy or creat our love. But only can convert from me or you
Upweke tu hivi wa Dada unawajua wewe?Kwaio mnaopinga mnampinga dada mtumishi mwenye jicho la kiroho?
Asante kwa ofa. Daktari wangu Yesu anatosha. Yeye ana uwezo wa kuwafufua hata wanasaikolojia wakifa. Nikijihisi mgonjwa namkimbilia Yesu bila kumpigia simu, ananiponya bure, nasev pesa ya kununua mboga. Kwa njia hii nimewanyima pesa madaktari wengi.Ni PM nikupe namba ya Mwanasaikolojia Dada yangu. Hali yako haiko sawa
If this post has earned the distinction of being the 'dumbest' you've seen today, I receive the title with quiet composure. As it is written, 'God has chosen the foolish things of the world to confound the wise' (1 Corinthians 1:27). For divine wisdom rarely conforms to human estimation.The dumbest post i have seen today
Wewe ni wa jinsia gani?Hapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa mara kwa mara, bado haachi kuwaona wakosoaji wake kuwa ni "ndugu zake"
Ni rahisi sana kuwapenda wanaokupenda, kuwasifu wanaokusifia, na kutoa tabasamu kwa wale wanaokupongeza. Lakini inahitaji moyo uliojaa neema, imani na unyenyekevu mkubwa kuendelea kuwaita wanaokubeza kuwa ni “ndugu.” Hiki ndicho kinachomtofautisha Lucas Mwashambwa na wengi wetu. Anaishi kama Maandiko yanavyotufundisha tuishi.
Yesu alisema:
“Lakini nawaambieni nyinyi mnaonisikiliza, wapendeni maadui zenu, watendeeni mema wale wanaowachukieni. Watakieni baraka wale wanaowalaani, na waombeeni wale wanaowatendea vibaya.."(Luka 6:27-28)
Akaongeza tena:
“Na ikiwa mnawapenda tu wale wanaowapenda nyinyi, je, mtapata tuzo gani? Hakuna! Kwa maana hata wenye dhambi huwapenda wale wanaowapenda wao.." (Luka 6:32)
Lucas Mwashambwa kwa kuendelea kuwaita “ndugu zangu Watanzania” wale wanaomshambulia, anatimiza kwa vitendo maagizo matakatifu ya Yesu. Ndio sababu nasema huyu ni mfano bora wa kuigwa, kwa sababu anajua kuuenzi utu hata pale ambapo wengine wanamnenea mabaya. Lucas Mwashambwa anatambua wazi kwamba tofauti za mawazo hazipaswi kufuta undugu wetu wa kibinadamu.
Lucas Mwashambwa, ametufundisha kwa vitendo kwamba mtu anaweza kutetea mtazamo wake bila chuki. Anaweza kupingwa bila kulipiza kisasi, na anaweza kuendelea kuona thamani ya wale wanaomtusi , kwa sababu ndani yake, anawaona kuwa ni ndugu zake.
Nimeona niandike uzi huu kwa sababu Biblia inanihimiza kufanya hivyo katika kitabu cha Wafilipi 4:8.
Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yapendezayo, yo yote yenye sifa njema, ukiwapo wema wo wote, na sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo."
Lucas Mwashambwa atakuwa anabubujikwa na machozi ya furaha baada ya mkutano wao wa mtandaoni pembeni akiwepo mpendwa wake ephen_Kwani Lucas Mwashambwa mwenyewe anasemaje
Unwavering principle means lucas is too performative than deeply rooted potential so brings you inner peace and satisfaction with his strategic courtesy .This Lucas might be a John Sin level .You may have dismissed it as rubbish, yet I shall not retract the dignity with which I regard you. I still call you a brother. For that is the quiet nobility Lucas Mwashambwa exemplifies: responding to contempt not with retaliation, but with unwavering courtesy rooted in conviction. 😎
Yaani eti umeweka na ushahidi wa yanayoitwa maandiko matakatifu juu ya mtetezi wa utekaji,utesaji na uuaji?Hapa JF kuna watu wana maneno yanayochoma kama mkuki, hata hivyo bado kuna watu wanaobaki kuwa na mioyo ya upendo, subira na busara hata wakirushiwa mikuki ya dhihaka na kejeli. Mmoja wa watu hao ni Lucas Mwashambwa — mtu ambaye licha ya kupingwa vikali, kushambuliwa hoja zake, na kukosolewa mara kwa mara, bado haachi kuwaona wakosoaji wake kuwa ni "ndugu zake"