Lucas Mwashambwa ni mfano bora wa kuigwa!

Mlaaniwe mnaoamini wanasiasa wakati NI wazi ndio wadhalimu wenyewe
Mithali 26:2
Kama shomoro apigapigavyo mabawa yake au mbayuwayu katika kuruka kwake kasi, ndivyo ilivyo laana isiyo na sababu haimpati mtu.
 
Naona umekuja kujinadi kwa kutumia ID nyingine ya Dada yako.

Kwa hiyo kwa akili ya kawaida unategemea utajibu kwa hasira na kufokafoka ilhali unajua kabisa una matarajionya teuzi.
Acha uongo ndugu yangu. Uongo ni dhambi
Nakuhakikishia Lucas Mwashambwa hajatumia ID yangu.
 
yai hili kaka
 
Ni PM nikupe namba ya Mwanasaikolojia Dada yangu. Hali yako haiko sawa
Asante kwa ofa. Daktari wangu Yesu anatosha. Yeye ana uwezo wa kuwafufua hata wanasaikolojia wakifa. Nikijihisi mgonjwa namkimbilia Yesu bila kumpigia simu, ananiponya bure, nasev pesa ya kununua mboga. Kwa njia hii nimewanyima pesa madaktari wengi.
 
The dumbest post i have seen today
If this post has earned the distinction of being the 'dumbest' you've seen today, I receive the title with quiet composure. As it is written, 'God has chosen the foolish things of the world to confound the wise' (1 Corinthians 1:27). For divine wisdom rarely conforms to human estimation.
 
Wewe ni wa jinsia gani?

Wahi Mirembe kwa ajili ya tiba utapona!
 
Unwavering principle means lucas is too performative than deeply rooted potential so brings you inner peace and satisfaction with his strategic courtesy .This Lucas might be a John Sin level .
 
Kazi anayofanya Mwashambwa na unayofanya wewe all are the same

Mwashambwa anasifia bila logic
Wewe unacopy na kupest everything about bible na unashare mitandaoni .

Katika Saikolojia ya siasa Mwashambwa ni layman na katika Theolojia wewe ni disciple (Mfuasi) wa maandishi na sio msomi wa bible wala kiongozi


Kwahiyo mmeendana kitabia au kimajumuni .
 
Yaani eti umeweka na ushahidi wa yanayoitwa maandiko matakatifu juu ya mtetezi wa utekaji,utesaji na uuaji?
Hiii bhagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…