Lucas Mwashambwa una matumizi mabaya ya chuki

Jukwaa halina maana sana kama unachokiongea mbele ya watu hakina tija wala mashiko, Lissu aliumizwa akiwa kwenye gari la kifahari tena full kiyoyozi. Acha kuwa materialistic kama Dada zetu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana na huu utumwa uliokubali unakuongezea shida na kukudumaza akili. Elewa : Wakati wowote na mahali popote jambo la hatari usilolitarajia linaweza kukupata. Hivi lile tukio la Lissu kupigwa risasi kuna binadamu yeyote alitarajia. Yaani kuna watu mmekuwa arrogance sana as if kama hapa duniani mtaishi milele.
 
Kwa hio unawaonea huruma.
 
Una chuki binafsi na Lucas Mwashambwa,Viongozi wa chama chake na chama cha Lucas kwa ujumla. Lissu hakusaidii kitu elewa hilo.
Haelimishi chochote zaidi ya kulitanua tumbo lake tu
 
Nmeamin kwel una chuki binafsi na moyo wako umejaa kisran Cha elfu 20 mnazopewaga kama ajira na posho ya kununua bando
 
Huyu jamaa huwa namchukulia kama mental case
 
Kwa nini huwa wameweka nguvu kubwa kwenye kusifia? Kusifia kuna nguvu gani kwa kitu ambacho kinaonekana hata kwa macho tu kuwa hakipo sawa?
Uongo ukiongelewa mara kwa mara hugeuka na kuonekana kua ndio ukweli na watu wataamini huo uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…