saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Lucas mwashambwa pamoja na mazuri yote ya Serikali unayoyatangaza humu, umeshawahi kujiuliza kwanini bei ya Mchele ifike 4,000 kwa kilo tatizo liko wapi na nani amesababisha hali hiyo ili iweze kushauri na kutuletea majibu.
Waulize kwanini Kilo ya Nyama iuzwe 10,000 hadi 11,000 kutoka sh 5,500 hadi 6,000 kuna shida gani kwenye mifugo?
Waulize kwanini vifaranga vya wafugaji wa Tanzania vinachomwa moto kwa kukosa soko lakini siku mbili baadae vinakamatwa Airpot vifaranga kutoka Ubelgiji na kufia hapo hapo airpot kwa kukosa vibali.
Waulize kwanini Tangu aingie Janauri Makamba umeme ukaanza kukatika hadi sasa watanzania wengi wamefilisika biashara zao zilizokuwa zinategemea umeme watafidiwa na nani kwa hasara hiyo?
Waulize alafu tuletee mrejesho hapa.