Lucas Mwashambwa

Lucas Mwashambwa

Wakuu
Naomba kujua wafisu wa ndugu yetu huyu
Naona "unaupiga" mwingi kwenye idara ya "Pambio"
Kwa kifupi sana,
mungwana ni mtaalamu mwandamizi na mbobevu katika sayansi ya siasa na utawala, na ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa, kijamii, kiuchumi kitaifa na kimataifa nchini.

Ni mshauri mbobevu mwandamizi wa kimkakati, katika vyama vya siasa mbalimbali Africa. Na mpaka sasa, anafanya kazi hiyo muhimu ya kidemokrasia katika nchi mbalimbali Africa 🐒
 
Safwa hilo,nimeishi nao najua majina yao ya ukoo,ukiona Mwashamba,Mwalyoyo...ujue Msafwa
Acha ushamba hakuna msafwa mjinga namna hiyo, huyo ni mnyiha wewe wa mbozi...
 
Back
Top Bottom