LUCIAN GABRIEL WIINA MSAMATI: Muigizaji mwenye asili ya Tanzania ndani Game of Thrones

LUCIAN GABRIEL WIINA MSAMATI: Muigizaji mwenye asili ya Tanzania ndani Game of Thrones

Ataitwa na mkuu muda si mrefu apewe kiwanja ajenge kwenye kijiji cha serikali pale Mtumba, Dodoma
 
Namuelewa sana huyu mwamba, series nzima ameoneshwa mara tatu tu. Angalia msemo wake hapa chini akimjibu mtoto wa sir devos. Tukiwaeleza kama got was the best hamuelewi
vlcsnap-2020-05-15-17h41m46s51.png
 
Daaah Jamaa Kipande Kimeshake sana ndio maana sijaona watu wakibisha sio mtanzania ila angekuwa "Point 5" aka HAFUKASTI watu wangepinga sio mTZ hahahaaaa i'm humbled you know im in down town.
 
Naam,

Pengine ulikuwa hujui sasa nakujuza.

Bwana Lucian Gabriel Wiina Msamati ni muigizaji wa Kiingereza mwenye asili ya Tanzania kuigiza katika Tamthilia pendwa ya Game of Thrones.

Katika Game of Thrones alijulikana kama Saladhor Saan, yule captain wa maharamia mwenye meli nyingi aliekuwa rafiki wa General wa Stannis Baratheon.

Bwana Msamati alizaliwa kwa wazazi wa Kitanzania mwaka 1976 huko Zimbabwe baba yake alikuwa daktari na mama yake alikuwa nesi.

Alianza safari yake ya kielimu katika shule ya Olympio Dar es Salaam kisha akahamia Zimbabwe na Uingereza .

Hahahah! Moja Kati qoute maarufu ya character Saladhor Saan iliyochezwa na Lucian Msamati ni:

"I've been all over the world, my boy, and everywhere I go people tell me about the 'true gods', they all think they found the right one. The one true god is what's between a woman's legs."

Kwa sasa Lucian yuko UK aliendesha maisha yake kama mwanahabari na muigizaji.

Baadhi ya filamu zingine alizocheza ni pamoja na The Good Lier, The Legend of Sky Kingdom, Richard Li na The International

Credit: Moe Chanda (Twitter) na mtandao.


Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuna Watanzania wenye sura hizi nzito kama papai bichi.
 
Back
Top Bottom