Naam,
Pengine ulikuwa hujui sasa nakujuza.
Bwana Lucian Gabriel Wiina Msamati ni muigizaji wa Kiingereza mwenye asili ya Tanzania kuigiza katika Tamthilia pendwa ya
Game of Thrones.
Katika
Game of Thrones alijulikana kama Saladhor Saan, yule captain wa maharamia mwenye meli nyingi aliekuwa rafiki wa General wa Stannis Baratheon.
Bwana Msamati alizaliwa kwa wazazi wa Kitanzania mwaka 1976 huko Zimbabwe baba yake alikuwa daktari na mama yake alikuwa nesi.
Alianza safari yake ya kielimu katika shule ya Olympio Dar es Salaam kisha akahamia Zimbabwe na Uingereza .
Hahahah! Moja Kati qoute maarufu ya character Saladhor Saan iliyochezwa na Lucian Msamati ni:
"I've been all over the world, my boy, and everywhere I go people tell me about the 'true gods', they all think they found the right one. The one true god is what's between a woman's legs."
Kwa sasa Lucian yuko UK aliendesha maisha yake kama mwanahabari na muigizaji.
Baadhi ya filamu zingine alizocheza ni pamoja na
The Good Lier,
The Legend of Sky Kingdom,
Richard Li na
The International
Credit: Moe Chanda (Twitter) na mtandao.
Sent using
Jamii Forums mobile app