Lucile Randon: Binadamu mpweke zaidi duniani

Hata kama wasiposhiriki tendo lakin wanakuwa pamoja wanapiga stori ,wanakula pamoja hiyo ni tosha kabisa inasaidia kukufanya usiwe mpweke,ile akili tu kujua tu ndani kuna mwenzangu ni tiba tosha ya upweke
Nishawahi kumshuhudia bibiyake na rafikiyang alifikisha miak 108 yaani alikuwa akili inarudi utotoni kabisa Yani storyzake matendo madogo madogo anayofanya Kwa waliokuwa wameona na kufikia umri Mkubwa sana wanakuwa na uwezo wa kukumbuka Kwamba huyu mume tupige story hizi au ndo zinabaki story za Kuchezea vikopo?
 
Lakin upweke lazima utapata tu
Bado inategemea kwa sababu swali ni very subjective.

Upweke ni jambo pana sana, na kila binadamu humu duniani anamzigo wake wa upweke.

Hata wewe hapo ulipo ingawa una familia pengine, lakini kuna upweke unaokutana nao katika sehemu fulani ya maisha kama binadamu.

Huyu sister kama sijakosea, ana upweke wa kuwakosa watu ambao walikuwa wamemzunguka, na ambao hawapo tena kwa kuitwa mbele za haki na Mwenyezi Mungu. Hawa watu wanaweza kuwa marafiki, watawa wenzie, nk.

Maadamu kifo kipo, upweke lazima uwepo. Upweke wetu unaweza husisha kuwakosa wapendwa wetu waliotangulia mbele za haki.

Binafsi nilipata msiba wa dada yangu, kiukweli kila mara namkumbuka sana, na kuna mengi yanaumiza, lakini hamna budi kujitia matumaini na kusonga mbele.
 
Ni kweli ulivyosema 100%
 
Yaani unawaza awe na mume? Sasa kwa umri huo nani atamsaidia mwingine?
Sijui umewaza nini.

Wale wanaozeeka na waume zao je inasaidia unakuwa sio mpweke hata kama hamshiriki mengineo ,huwa nakutana na couple walozeeka huwa wana furaha sana
 
Nishawahi kumshuhudia bibiyake na rafikiyang alifikisha miak 108 yaani alikuwa akili inarudi utotoni kabisa Yani storyzake matendo madogo madogo anayofanya Kwa waliokuwa wameona na kufikia umri Mkubwa sana wanakuwa na uwezo wa kukumbuka Kwamba huyu mume tupige story hizi au ndo zinabaki story za Kuchezea vikopo?
Ukizeeka lazima urudie utoto maana akili inadumaa unakuwepo haupo busy japo wapo baadhi wanakuwa na akili vizuri tu ,ila wengine wanakuwa watoto kabisa
 
118 mdogo tu huyo wala sio mzee zaidi duniani
 
Ehh Mwenye Enzi Mungu mbariki umpe mwisho mwema walahi [emoji2972]
 
Back
Top Bottom