Luck Dube wa No body can stop Reggae. .. Kwanini Alikufa?

Luck Dube wa No body can stop Reggae. .. Kwanini Alikufa?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
➡ Ukikaa na kufikilia kwa mbali unaweza usipate jibu la moja kwa moja ila maisha lazima yaendelee.

Mwanamuziki wa nyimbo za kuruka ruka a.k.a rege Luck Dube alifariki kwa kupigwa risasi na jamaa wa kukodi waliotumwa na watesi wake kimuziki.

Kwa wasiofaham ni kuwa; Jamaa alikuwa akitoka kumchukua kijana wake mdogo shule na kumrudisha nyumbani, nyumbani akisubili geti kufunguliwa ndipo jamaa wenye motorfietse a.k.a bodaboda wakamfyatulia risasi.

TUENDELEE.
Ukipiga picha kuhusu kifo chake na kuangalia maisha yake kwa ujumla (siyo yeye tu) unaweza ukajiuliza kwa nini ilifikia hatua ya kumpiga risasi?

Hapo ndipo penye swali gumu au rahisi sana, ila kuna kitu lazima tujiulize hapa chini, kwa nini mtu anauwezo kifedha, anafahamika duniani, anafacility zozote alizotaka na hata uwekezaji sehemu kadhaa lakini bado anauwawa?.

Kila mtu ana jibu hapo, ila lazima tupate elimu na kujifunza kutokana na matukio ya watu wenye uwezo kuuana au kupigana risasi.

Maisha tuliyonayo ni kupambana kutafuta mali, marafiki, kujijenga na umaarufu lakini umaarufu unaoutaka ndiyo ambao baadaye unakupeleka kuhitaji umiliki vitu, watu nk na vingine vikiwa vinamilikiwa na watu.

Hapo ndipo shida inapoanzia na unajiona unauwezo kuliko wengine na kukupelekea uwaone wengine wapo chini na kufanya fujo ambazo zinapelekea kuingilia biashara, kazi za wengine mpaka hapo ndipo unajenga hasira kutoka kwa wengine inayoweza kuleta madhara kwako.

JIFUNZE KUTII ULICHONACHO.
 
Uko Wapi Mukhtadha Wa Kuuawa Kwake? ni mali na umaarufu tu?
 
NB. Moderator huu uzi haukutakiwa urekebishe heading, maana yake umeharibu mawazo ya body story.
So ondoa hiyo Luck Dube tafadhali.
 
sasa umeandika nini? HAPA UMEULIZA, AU UMEELEZEA?
Kama umeuliza mbona swali halipo?
Kama umeelezea mbona hakuna sababu ya Dube kufa?

Halafu jifunze kuandika vizuri maana naona hujui matumizi ya l na r.
 
Uko Wapi Mukhtadha Wa Kuuawa Kwake? ni mali na umaarufu tu?
Muuaji alimuua Lucky Dube kwa "bahati mbaya", alitumwa kuua mtu mwingine ila hakuelewa au alifananisha ndio akauliwa Dube...Ila lengo la mtu alietuma jamaa kuua hakukusudia auwawe Dube.
 
Huyu aliwahi kuja bongo na kumtania mtangazaji mmoja wa CTN anaitwa Rahma Azizi kuwa atamuoa daah ilikua ndio story kubwa nchini mwezi mzima kwenye vyombo vya habari kwamba dube anaoa mtanzania .. enzi hizo ubuyu ilikua tabu kweli kuupata ndo mana hata mzaha kama huo ulikua una trend
 
Alimuuwa Senzo mpiga drums wake baada ya kujitoa kwenye band ya Dube..wahuni wakalipiza kisasi
 
Alimuuwa Senzo mpiga drums wake baada ya kujitoa kwenye band ya Dube..wahuni wakalipiza kisasi

Story hizi ulizitoa kijiweni au kwenye Mitandao? Kama kwenye mitandao tunaomba link na sisi tusome.
 
wewe MTOA HOJA mbona unataka kuufanya uongo uwe ukweli?,hii kesi ilikwenda hadi mahakamani na watuhumiwa walikutwa na hatia na kufungwa,mwanamziki huyu aliuliwa na watu waliotaka kupora gari lake na katiak moja ya utetezi wao walisema kuwa walimfananisha na mpopo(Nigerian) means hakuuliwa kutokana na kisasi chochote ila aliuliwa kutokana na jaribio la kupora (carjacking) gari lake.always ukweli uwe ukweli.
 
Alimuuwa Senzo mpiga drums wake baada ya kujitoa kwenye band ya Dube..wahuni wakalipiza kisasi

Kwanini huu uongo umesambaa na kuaminiwa sana? Senzo yupo, na mwaka juzi ameonekana baada ya kuugua malaria kwa muda mrefu sana.
 
wewe MTOA HOJA mbona unataka kuufanya uongo uwe ukweli?,hii kesi ilikwenda hadi mahakamani na watuhumiwa walikutwa na hatia na kufungwa,mwanamziki huyu aliuliwa na watu waliotaka kupora gari lake na katiak moja ya utetezi wao walisema kuwa walimfananisha na mpopo(Nigerian) means hakuuliwa kutokana na kisasi chochote ila aliuliwa kutokana na jaribio la kupora (carjacking) gari lake.always ukweli uwe ukweli.

Bora wewe ulifuatilia kisa chote na kuujua ukweli. Kwa kuongezea tu, hawakuichukua ile gari baada ya kubaini waliyemuua ni Lucky Dube na sio Mnaijeria waliyemkusudia.

"...be goid to the people on your way up coz you may need them on your way down...the way it is.." Jamaa alikua anajua sana.
 
Always FACTS zibakie hivyo sio wanasiasa watulishe matango na watu humu ambao wengi wetu ni middle class nao watuaminishe uongo.
 
Back
Top Bottom