TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
➡ Ukikaa na kufikilia kwa mbali unaweza usipate jibu la moja kwa moja ila maisha lazima yaendelee.
Mwanamuziki wa nyimbo za kuruka ruka a.k.a rege Luck Dube alifariki kwa kupigwa risasi na jamaa wa kukodi waliotumwa na watesi wake kimuziki.
Kwa wasiofaham ni kuwa; Jamaa alikuwa akitoka kumchukua kijana wake mdogo shule na kumrudisha nyumbani, nyumbani akisubili geti kufunguliwa ndipo jamaa wenye motorfietse a.k.a bodaboda wakamfyatulia risasi.
TUENDELEE.
Ukipiga picha kuhusu kifo chake na kuangalia maisha yake kwa ujumla (siyo yeye tu) unaweza ukajiuliza kwa nini ilifikia hatua ya kumpiga risasi?
Hapo ndipo penye swali gumu au rahisi sana, ila kuna kitu lazima tujiulize hapa chini, kwa nini mtu anauwezo kifedha, anafahamika duniani, anafacility zozote alizotaka na hata uwekezaji sehemu kadhaa lakini bado anauwawa?.
Kila mtu ana jibu hapo, ila lazima tupate elimu na kujifunza kutokana na matukio ya watu wenye uwezo kuuana au kupigana risasi.
Maisha tuliyonayo ni kupambana kutafuta mali, marafiki, kujijenga na umaarufu lakini umaarufu unaoutaka ndiyo ambao baadaye unakupeleka kuhitaji umiliki vitu, watu nk na vingine vikiwa vinamilikiwa na watu.
Hapo ndipo shida inapoanzia na unajiona unauwezo kuliko wengine na kukupelekea uwaone wengine wapo chini na kufanya fujo ambazo zinapelekea kuingilia biashara, kazi za wengine mpaka hapo ndipo unajenga hasira kutoka kwa wengine inayoweza kuleta madhara kwako.
JIFUNZE KUTII ULICHONACHO.