Lucky Dube ananifanya niipende imani ya Rastafarian, he was a saint..

Lucky Dube ananifanya niipende imani ya Rastafarian, he was a saint..

Salute..
Aisee naandika haya toka moyoni kabisa ndaaani kulee. Nampenda sana Lucky Dube nyimbo na mfumo wa maisha yake. Nimekua nasikiliza nyimbo,interview na shoo zake zinanivutia sana.
Katika nyimbo zake zote nilizowahi zisikia hakuna wimbo mbaya na usio na ujumbe wa kugusa.
Nyimbo kama
  • Peanut butter
  • Back to my root
  • Hand of giveth
  • I got you jah
  • House of exile
  • Slave
  • Remember me
  • No truth in world
  • Think about children
  • Don't Cry
  • Group area act
  • That is the way
  • Is this the way
  • Eyes of beholder
  • God bless the woman
  • Hold on
  • Keep knocking
  • Khululeka
  • Usizi
  • Crazy world
  • Prisoner
  • Feel irie
  • Jah live
  • Is not easy
  • Can't blame you
  • Don't say no
  • Children in the street.
  • N.k n.k
Hua nikisikiliza nyimbo zake napata msisimko wa ajabu sana na kufikiria jinsi Bara letu la Afrika tulikotoka na tulipo.
Kiukweli japo alikua ana mapungufu yake kama mwanadamu lakini nadhani alipo yupo mahali pazuri. Kutokana na juhudi kubwa alizofanya kuleta usawa miongoni mwa Watu wa rangi za mataifa mbalimbali pia kuchangia Liberation of African Continent. Niichojifunza toka kwake ni Kuishi vyema na kuwa mzarendo wa nchi yangu na bara letu kwa ujumla.

Lucky Dube miaka 11 sasa umetutoka lakini utaendelea kuishi moyoni mwangu daima, I wish mwanangu nimpe jina moja kati ya haya majina matatu (Nyerere,Lucky Dube, Da'Vinci)

"If you see Blackman suffering does it make you happy?
If you see Whiteman does it make you happy"

-LuckyDube_Hand of giveth
Hiv Jamaa waliomuua walikamatwa...? Maana nilisikia walitaka kuiba gar Bahati mbaya waka mshoot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa na kipaji cha pekee.
Muziki kwake ilikuwa ni andiko la kiroho.
Ukisoma mashairi yake ni kama unasoma Yohane 3:4-21(MFANO).
Lucky,aliweza kukuliza huku unacheza.
Aliongea maisha ya mwanadamu katika kiwango cha pekee kabisa.

Usizi"

Usizi emhlabeni
Izingane zilala zingadlile
Umama nobaba
Emsebenzini badiliziwe

Ubusuku bud'enganeni
Uma ingadlile

This part akiimba na ile sauti yake aiseee.
Mkuu,hizo lines ungezitafsir!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom