Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Niko namtazama anko Philip hapa aisee huyu jamaa hachoshi kumsikiliza. Akiimba wimbo hutamani amalize...Ni video ya live performance show yenye masaa 2+ aliyoifanya mwaka 2003 Uganda Salute kwake.
Wale wadada wa back vocal wametenda kazi nzuri afu unachagua tu mwenyewe wa kumuangalia kama unapenda modos au Chogo wote wapo.😆
Huyo aliyevaa njano na blue ananikumbusha mbali kweli..
Anza kutizama dk 15 anaimba wimbo wa Money money then tazama dakika 36 alivyoimba wimbo wa That's the Way kisha Ding dong ricky ricky
Enjoy the Show ❤️
Roho yake ipumzike mahali salama