Lucky Dube: Miaka kumi(10) tangu auawe

RIP JAHMAN
 
Kwakweli walioneza uvumi huu wametenda dhambi kubwa! Lucky aliwakosea nini lkn?
 
Kwa jinsi ulivyoelezea hapo haiwezekani ukawa hutumii ganja.
 

Kwa mujibu wa maelezo yake, hakuwa akitumia mmea, hapa nanukuu baadhi ya majibu yake

“If Rastafarianism is about having dreadlocks, smoking marijuana and believing that Haile Selassie is God, then I am not Rastafarian. But if it is about political, social and personal consciousness, then, yes, I am”.
 
Aliuwa kwa upanga na yeye akauwawa kwa upanga, sijui wezi wa magari sijui majambazi hizo ni porojo tuuu, jamaa alipewa kile alicho stahili, full stop!
 
Yes usivute kama hutaki kufanya hivyo.
Niko salama sijui wewe kaka

Nna kichwa chepesi, nikiona mvinyo tu naanza kucheka na kufurahi bila mpangilio huku kijasho kinanitoka Kwa mbali. Hiyo inanipa ishara kwamba mie na vilevi hatuivi chungu kimoja.
 
Nna kichwa chepesi, nikiona mvinyo tu naanza kucheka na kufurahi bila mpangilio huku kijasho kinanitoka Kwa mbali. Hiyo inanipa ishara kwamba mie na vilevi hatuivi chungu kimoja.
Sasa ukivuta bangi ukaona kuku unaweza ukacheka hadi ujishangae mwenyewe
 
Sasa ukivuta bangi ukaona kuku unaweza ukacheka hadi ujishangae mwenyewe

Ujue hiyo inanipeleka mbio ni Ile wine, Tena alcohol kidogo tu. Bangi naweza kujikuta ndio dereva wa lile basi la Kwa Malkia lilisafirisha wazee wa misafara
 
Ha haa wewe hufai

Ila Lucky Dube nimeanza kusikiliza nyimbo zake Bado sijaanza darasa la kwanza. Nimemsikiliza nikiwa shule ya msingi, sekondari, Hadi Sasa ni mwimbaji wangu Bora kabisa wa mziki wa kunesanesa, napenda mpangilio wa vyombo, sauti za waimbaji, sauti yake na zaidi kabisa ujumbe kwenye nyimbo zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…