Lucky Dube: Miaka kumi(10) tangu auawe

Na siku jamaa kafa Dube kahojiwa kasema hausiki ...akaongezea kuwa kama kweli kahusika kumuua jamaa na yeye basi auliwe!

So alivyouliwa kweli watu wakasema KARMA hiyoooo...

Unaemzungumzia hapa ni Senzo. Naomba nikukumbushe, bendi na umaarufu wa Lucky Dube haukupungua wala kutetereka hata baada ya Senzo kuondoka kwenye kundi lake. Vile vile fuatilia mafanikio yake hadi mauti inamkuta utaona na kupata picha alikuwa mtu wa aina gani.

Hayo mengine tumuachie hakimu wa haki atakaehukumu watu wote siku moja.

Kwangu, anaendelea kuwa mwanamziki bora wa reggae wa nyakati zote. Ana mchango mkubwa sana kwenye maisha yangu kwa namna moja ama nyingine.
 
Na siku jamaa kafa Dube kahojiwa kasema hausiki ...akaongezea kuwa kama kweli kahusika kumuua jamaa na yeye basi auliwe!

So alivyouliwa kweli watu wakasema KARMA hiyoooo...
Mkuu sisi ma ras hatunaga hizi habari za kudhulumiana si mali wala uhai kwa kiumbe kingine.

Huyu wanayesema alitishia future yake sisikii msisimko ktk vibao vyake alivyotoa sijui alimtisha kwa kipi!!!!.

Pamoja na yote,wahusika wa mauaji wanakili kwamba walitaka kuiba gari,wasijue ni yeye,baada ya kujua iliwafanya wajute na kukili makosa.


Ninachokumbuka toka nakua nilikuwa napenda sana kazi zake,Ila nilidhani ni mzungu huyu jamaa.
 


Nakubaliana na wewe kuhusu hilo. Hata mimi niligoma kuamini kwamba havuti. Lakini nimemsikiliza mara nyingi na si zaidi ya mara moja amesimamia kwamba hakua anavuta wala kutumia kilevi.

Achana na huo wimbo wa Rasta man prayer, kuna wimbo unaitwa We Love It..

Naomba unielewe nikikwambia nimeanza kumsikiliza Dube toka sijaanza vidudu..hahahahaaa
 
My fav songs.

Love me the way I am.
Good girl.
Romeo.
The one.
Ding ding rick rick.
I this the way.
The way it is.
Teach the world.
No truth in the world.
Soldiers.
Monster.
Jah live.
Rustà mans player.
Street children.
 

I want to know what love is...huo wimbo upo kwenye album yake inayoenda kwa jina la Serious Reggae Business kama sikosei.

Kwa ile sauti ya kwenye huo wimbo haiwezekani akawa anavuta bangi..nafikiri alikua anakunywa mayai..hahahahahaa. Nakumbuka yeye alisema anakunywa maji mengi, kula matunda fresh na kupata muda wa kutosha kupumzika na hakusahau kwamba ni kipaji alichojaliwa.
 
Na ni katika show hiyo hiyo kuna mdada rasta alivua nguo zote akabaki na brazier na pichu tu! Akawa anakimbilia jukwaa alipo Dube huku akishout kwa fujo akiita Marley! Marley! Marley!
 

Mara nyingi rastafarian wanaoimba muziki wa reggae husema, huwa hawaimbi kwa ajili ya kushindana bali kufanya special mission ambayo wao siku zote huwa wanaamini kuwajibika na hiyo mission kwa maana ya kuelimisha, kuonya, kutoa inspiration na vitu kama hivyo. Huwa hawapendi sana kukumbatia mambo ya kidunia. Hata Bob Marley alipoulizwa iwapo yeye ni tajiri, hakujibu kuwa yeye ni tajiri kwa sababu aliamini pesa kwake si kitu bali maisha na ubinaadamu ndivyo vitu muhimu na zawadi toka kwa Mungu. Pamoja na hayo, ukweli unabaki palepale kuwa yupo mkubwa na mdogo, mrefu na mfupi, mwembamba na mnene, mkimya na mwenye kelele. Kwa mazingira haya, na kwa madai ya shutuma dhidi ya Dube kuwa alifanya conspiracy ya kumuondoa Senzo ili yeye abaki kuwa kileleni, si ya kweli. Si ya kweli kwa kuzingatia umaarufu alionao Lucky Dube, tangu aanze kutamba kuanzia miaka ya 1989. Umaarufu wa Dube kama ndugu alivyotangulia kusema ni kweli haujawahi kutikisika eti kwa sababu kuna mwanamuziki fulani kaibuka. Ikumbukwe, kwa Afrika, wanamuziki wa reggae wenye majina kidunia au kimataifa, wako wawili tu, yaani Lucky Dube toka South Africa, na Alpha Blondy toka Ivory Coast. Na bado tukiweka kwenye mizani kati ya Lucky Dube na Alpha Blondy, bado tunakuta Dube ndiye mwanamuziki pekee bora wa reggae toka Afrika. Senzo kama angekuwa ni tishio kimuziki kwa Lucky Dube, basi kwa album zake tatu (sina kumbukumbu nzuri ni album ngapi ametoa) alizotoa, basi ingeonekana kazi yake na kuwa tishio kwa Dube. Senzo binafsi yupo level ya Innocent Galinoma (Mtanzania anayefanyia kazi zake kule Amerika). Na mtu anayebishana na hili nimkumbushe pia kuwa, namna media (vyombo) vya habari vikubwa vinavyoripoti tukio la mtu fulani, hiyo ina-determine ukubwa na umaarufu wa mtu huyo. Alipouwawa Dube, mashirika makubwa duniani kama CNN, BBC yalikuwa yakiripoti juu ya tukio lile na kuna kitu wao watu wa media wanaita developing story, hii walifanya kwa Dube karibu wiki nzima kitu ambacho kilifanyika kwa Michael Jackson. Tofauti ya Lucky Dube na Senzo ni kubwa sana kama ilivyo tofauti kati ya Michael Jackson na Asher Raymond.
 
Aliuwawa bhana nikiwa na form six dokta mwenzangu class.

Tulikua tunasoma organic chemistry sitasahau kusikka na tulikua tukisikiliza wimbo wake moja Hivi.

The King of África.

R. I. P. LD.
 
Na ni katika show hiyo hiyo kuna mdada rasta alivua nguo zote akabaki na brazier na pichu tu! Akawa anakimbilia jukwaa alipo Dube huku akishout kwa fujo akiita Marley! Marley! Marley!

YAH....japo sijaiona hiyo video, ila ukweli unabaki Lucky Dube alikuwa great musician ndiyo maana kuna mwanamuziki wa Jamaika, anaitwa Anthony B,....wimbo wa Lucky Dube, VICTIMS, ulirudiwa (kufanyiwa cover) na huyo Anthony B. Si kitu kidogo kwa mwanamuziki toka Jamaika akafanya cover ya mwanamuziki toka Afrika. Cover zote ambazo zimekuwa zikifanyika na wanamuziki toka Jamaika ni zile za Bob Marley mwenyewe na wanamuziki wa Amerika.
 


 
Lucky Dube Lyrics
"Guns & Roses"

I don't know why
I keep believing
That one day, they'll bring us together
When they've shown
In more ways than one
That all they care about is the dollar
You belong to the one political party
I belong to the one musical party
Our differences are worlds apart
Just like guns and roses
If we don't take control
Of the situation
We'll stay forever in this ya commotion

[Chorus: x3]
These guns and the roses
That we've got to live with

How can five years of power
Destroy a lifetime of
Togetherness
One time we were judged
By the colour of our skins
Now we are judged
By the colour of our flags
Let us unite
Against being divided
You belong to the one political party
I belong to the one musical party
Let us take control of the situation
Otherwise we'll be trapped in this

[Chorus: till fade]

Lucky Dube Lyrics - Guns & Roses


 
"Love Me (The Way I Am)"

Who's child am I gonna be tonight?
Who's bed am I gonna sleep in tonight?
You told the other ones
I was your brother's child
You told the ones
I was your sister's child
Everytime they come to the house
I got to change my name
Everytime they come to the house
I got to change my identity
Whose child am I gonna be tonight?
As he walked away with tears in his eyes
I felt every pain that he felt
I cried every tear that he cried
Mama why?...

[Chorus:]
I wish you could love me the way I am

Whose dogs are gonna be my friends tonight?
Whose bin am I gonna eat out of tonight?
The welfare people when they come
To the house you told me to say nothing
Every time they wanna take me away
You say everything is alright
Who's bins am I gonna eat out of tonight?
As he walked away with tears in his eyes
I felt every pain that he felt
I cried every tear that he cried
Mama why?...

[Chorus:]
I wish you could love me the way I am
 
"The Way It Is"

Didn't I raise my voice
High enough for you
I was running like a fugitive all the time
Risking rejection from my own people yeah
Now that you got what you wanted
You don't even know my name
It's so funny, we don't talk anymore
Be good to the people on your
Way up the ladder
Cause you'll need them on your way down

[Chorus:]
That's the way it is

Didn't I raise my fists high enough for you
I guess I can't pat myself on the shoulder
For a job well done
Dodging bullets in the streets
I was there
Risking rejection from my own people
Now that you got what you wanted
You don't even know my name
Remember
Be good to the people on your way
Up the ladder 'cause you'll need
Them on your way down

[Chorus:]
That's the way it is
 
"God Bless The Women"

In the middle of the night I heard her pray so bitterly
And so softly yeah...
She prayed for her children
She prayed for their education,
Then she prayed for the man
That left her with her children.
We, praise heroes everyday
But there are those that we forget To praise
The women of this world.
They don't run from anything
They stand and fight for what's right
[Chorus:]
Oh oh oh...
God bless the women

Even when times are so hard
They are so cool, calm and collected.
They don't run from anything,
They stand and fight
For what is right

They do not run from responsibilities
They stand and fight for what Is right
[Chorus: till fade]
 
"Romeo"

I've been looking everywhere for you
Since the day we met
I've never been my old self again oh hoo
You don't have to believe in everything
I say right now
Cause to you I'm just another man
Until I prove myself to be
Worthy of your love you see
I'm not the kind of guy
That will bring you
Flowers everyday
I'm not the kind of guy
That will tell you
I love you in many fancy ways
Oh girl!
I've got to tell you this
I love you!
I want you
I love you!
I want you
Oh hoo hoo
[Chorus:]
I'm your Romeo
Could you be my Juliet

I know what women want
I've been around long enough
To understand it
But I want you to tell me
How to love you
'Cause I want to love you
The way you wanna be loved
It is better to have loved & lost
Than never to have loved at all
I'm not the kind of guy
That will bring you
Flowers everyday
I'm not the kind of guy
That will tell you
I love you in many fancy ways
But my girl
I've got to tell you this
I love you!
I want you
I love you!
I want you
I think I'll prove myself
To be worthy of your love
[Chorus: till fade]
 
Kitu cha ajabu hata ukiangalia wanamziki alioanza nao Dube jina la Senzo halipo! Hii stori mimi huwa inanishangaza sana, huyo watu wanaedai ni Senzo yuko hai hadi leo anaitwa Thuthukani Cele!
 
"Truth In The World"

I've been risking my life all these years
Protecting you from all the wrongs you did, man
I keep all this because of your promises
You promise me that you will die when I die
You promise that when trouble comes my way
You're gonna be there
But'a when'a trouble caz'a nock'a in'a I and I door
You were not there to be found
But when the trouble comes and knocks on my door
You're not there to be found
But when the trouble comes and knocks on my door
You're not there to be found
The world is turning around
Yesterday becomes tomorrow
When lies are said to be the truth
And truth is said to be lies, yeah, yeah, yeah

No truth in this world, no truth in this world

Like a preacher in church
Who preaches until tears run down his face
But when the sun goes down he is the hooligan
But when the sun goes down he is the witch
Now he is doin all this in the Creators name
Do you think this is the way God wants it to be?
The world is turning around
When today becomes tomorrow
When lies are said to be truth
The future becomes the past

No truth in this world, no truth in this world
No truth in this world, no truth in this world
No truth in this world, no truth in this world

 
Kitu cha ajabu hata ukiangalia wanamziki alioanza nao Dube jina la Senzo halipo! Hii stori mimi huwa inanishangaza sana, huyo watu wanaedai ni Senzo yuko hai hadi leo anaitwa Thuthukani Cele!



Huyo jamaa alikuwa na Dube hati mauti inamkuta, na nakumbuka walifanya ziara ya kuimba kumkumbuka Lucky Dume wakijiita One People. Alikua mpiga kinanda, mtunzi, producer na mara nyingi alikua akiimba pamoja na Dube.

Hiyo habari nimeitafuta na kuitafuta lakini sijawahi kuipata ukweli wake, nikaamua kuachana nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…