Lucky Dube: Miaka kumi(10) tangu auawe

Umeona ndugu yangu!!
Watu hasa wa TZ wametunga hii habari ya Senzo! Kuna siku mtangazaji wa redio moja hivi akatangaza wimbo wa usizi uliimbwa na Senzo!!! Nikashangaa sana sana, kwani aliyeimba ni huyu Cele
 
Umeona ndugu yangu!!
Watu hasa wa TZ wametunga hii habari ya Senzo! Kuna siku mtangazi wa redio moja hivi akatangaza wimbo wa usizi uliimbwa na Senzo!!! Nikashangaa sana sana, kwani alieomba ni huyu Cele

Mkubwa nimeanza kumsikiliza, sio kumfaham, kusikiliza nyimbo za Lucky Dube toka ile vidudu (Ki ukweli ilikua midundo tu, ung'eng'e ulikua haupandi wakati huo).

Waliozusha walisema jamaa aliyejitenga na bendi ya Lucky Dube alikuwa anategemewa 70% ndio maana akaamua kumuua.
Sasa nikafuatilia, huyu jamaa Cece, ndio naweza kusema alikuwa mwanamuziki wa Dube mkongwe kuliko wote, alianza mziki na Lucky tokea 1983 akiwa kama mpiga kinanda. Cha ajabu alikua nae hadi mwisho. Sijajua hii habari chanzo na lengo lake ilikua kitu gani.
 
"The songs I write are not strictly songs for South Africa but songs for the whole world, what is happening in South Africa is happening in other parts of the world. South Africa became the center of apartheid but apartheid is everywhere in the world."

“If Rastafarianism is about having dreadlocks, smoking marijuana and believing that Haile Selassie is God, then I am not Rastafarian. But if it is about political, social and personal consciousness, then, yes, I am”.

Lucky Dube
 
Umeona ndugu yangu!!
Watu hasa wa TZ wametunga hii habari ya Senzo! Kuna siku mtangazaji wa redio moja hivi akatangaza wimbo wa usizi uliimbwa na Senzo!!! Nikashangaa sana sana, kwani aliyeimba ni huyu Cele

Ila kweli, sina hakika ila yawezekana hii habari imetungwa na kuaminika kama baadhi ya binadamu wanavyoamini kuwepo kiumbe anayefanana na mwanadamu aitwaye samaki mtu. Na wengine wapo wanaamini kuna aina ya nyoka hutoa moto mdomoni, nyoka huyo wanadai anaitwa dragon. Mimi binafsi, katika kuchimba historia ya Dube kwa maana ya kutaka kujua juu ya Senzo, sijawahi kuona sehemu.
 
"Dracula"

You gonna try and hide
In the dark corners
Of the night
But he's gonna get you
'Cause he's not human at all
He' s Dracula ha, ha, ha, ha
[Chorus:]
Dracula, Dracula [x2]

During the day he's my friend
But when the night falls
He's no friend of mine
During the day he's my friend
But when the night falls
He's nobody friend
His eyes shine wild with fire
His heart is cold as ice
I am scared of him
He lives on human blood
He feeds on human flesh
Stay away he's got no mercy
No mercy at all
He's Dracula
[Chorus]

Not everything that glitters is gold
Ye man yes I say man
Don't trust no one
Don't even trust yourself
A' me a' go say now
He's got the sweetest words
You've ever heard
He talks like a new state president
Telling people
What he's gonna do for them yeah!
He walks like a human being
He eats like everybody does yeah!
But deep down in his heart
He knows he's bad news yeah!
His eyes shine wild with fire
His heart is as cold as ice
No mercy at all Dracula
Dracula
[Chorus]

A'him a' go round lamping the children
A'him a' go round lamping the creation yeah
I' and I' gotta yete wata me yeye cousa dem
Lamp l'Me Tart him gawn​
 
"Number In The Book"

No glove, no love
You've been hearing this so many times
Don't you think it's time
To be a little more responsible
Too many people die these days, oh
If you read the papers, check out the news
The numbers are there

Every number, represents a human being
Who was a father, who was a mother
A son or a daughter of this land... oh
You don't make the commitment but your body does
Even if you're dead silent
[Chorus:]
You are here today, tomorrow you are gone
You don't wanna be another number in the book [x3]

In the shadows of the night
A lady from the street corner talks to a customer
Money exchanges hands
That's the formality and she says
No glove, no love
You can pay me well, but it ain't worth my life
Too many people die these days
If you read the papers, check out the news
The numbers are there

Every number, represents a human being
Who was a father, who was a mother
A son or a daughter of this land... oh
It ain't worth my life... oh
 
Hapa ona jinsi walivyopiga nyimbo zake kukuonyesha kukubali kazi zake.

 

Anasema

Those that smoke marijuana wanna thank you father for making it grow internationally,
Even though police cut it down sometimes they burn it down but it grows again
They wanna thank you father
 

Feel irie
How will I know
Release me
I wanna know what love is
No truth in the word
Teach the world
Ding ding licky licky
Litle heroes
Lovers in a dangereous time
Never leave you
Rastaman's player
House of exile
Romeo
Slave
Its not easy
The way it is
Victms
God bless the women
Puppet master
Together as one
The hand that giveth
Jah live
Born to suffer
Children in the streets
Dracula
Prisoner


OH MY SON AM SORRY nikiusikiliza huu machozi huwa yananilenga
 
Hii show huwa sichoki kuiangalia hasa hasa pale alipohusisha I've got you baby na reggae night,

Halafu mwishoni kwenye no truth jamaa anapiga drums si mchezo

Acha kabisa Jemedari. Bonge la performance mziki mnene, war and crime mwishoni aliweka vionjo vya kikwao nafikiri. Alimalizia vizuri sana. Yule mpiga drums mzuka ulipanda, yaani kila mmoja unaona kabisa anafurahia kazi yake. Kuna mpiga gita la base nae hayuko nyuma.

Kwa kweli jamaa alikua na kipaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…