Lookmalasin
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,723
- 2,358
Ilikuwa saa, siku, mwezi, maana hatimaye miaka 10 sasa.R. I. P mwanaharakati.
IrieRest in peace bro, your contribution to African community will never be forgotten. Gone too soon, too young, while you still have so much to give, so much to teach, so much to offer. But you music will live forever. Jah Bless
Its a may b thingChini ya kapeti ni kuwa huyu LUCKY kuna mtu alimwua baada ya kuhama kwenye bendi yake, akaenda anzisha yake....
Sasa mabest zake wakaijua hiyo siri ya kifo cha jamaa, ndo wakalipiza kisasi kwa kumlima shaba lucky dube
Ukienda: Lucky Dube – How Will I Know? Lyrics | Genius Lyrics utapata lyrics zake zote.
Andika jina la wimbo mfano: Together As One kwenye kibox kinachokuwezesha ku-search lyrics na utapata lyrics za wimbo husika.
yap anasema "they"... but msanii anaweza kuongelea kitu kingine ilhali akijimaanisha yeye mwenyewe!! anyways,point yangu kubwa ni kwamva,ile deep thinking na zile message zake mtu wa kawaida hawezi andika.there must be a catalyst which is ganja
10 years since the brother is gone. let go back to our roots.
Aisee Victims ni noma huyu jamaa sijui akili alipewaga na God ama JahHuyu jamaa alikua philosopher, ukiskiza nyimbo kama War and Crime, Crazy World, Victims, the way it is, etc yale mashairi unahisi ni mtu aliekua kama masiah...R.I.P Dube
'It's Not Easy' mbona ina mambo ya mahaba??Sema hakuwa na nyimbo za mapenz...
Dah huyu jamaa alikua ni noma aisee...
Lucly Dube na Marshall Mathers ndo wasanii pekee ninaowakubali dunia hii....
Wengine huwaga nasikiliza nyimbo zao nzuri basi...
Huyu Marshall Mathers dah kuna watu wamebarikiwa vipaji na Mungu aisee yanii ukiiskiliza ile 'Stan' yote halafu ukaja kuskiliza na 'Kim'....unaweza kuyaona ya firauni maana utabaki ukistaajabu ya Musa.Marshal Mathers....Eminem.....Slim Shady......Nice
Jamani kwa kweli watu wametenda dhambi sana kumhushisha Dube na kifo cha Senzo, kumbe yupo hai hadi sasa na mwenyewe anakanusha kufa!!
Ikiwezekana uanzishwe uzi maalum watu wajue
Hii video anajieleza alivyomwa hadi kupoteza sauti
Jamani kwa kweli watu wametenda dhambi sana kumhushisha Dube na kifo cha Senzo, kumbe yupo hai hadi sasa na mwenyewe anakanusha kufa!!
Ikiwezekana uanzishwe uzi maalum watu wajue
Hii video anajieleza alivyomwa hadi kupoteza sauti
Ndugu yangu hii habari ya Senzo kupigwa risari na Vijana waliotumwa na Dube nilianza kufuatilia kwenye mitandao nafikiri siku ile tu Dube alipokufa, sikuona connection yeyote!! Nilifuatilia majina ya wanamziki wa Dube toka alipoanza sikuona jina wala sura ya Senzo!! Lkn mbaya zaidi hakuna chombo cha habari kilichowahi kuripoti uvumi huu ambao TZ tumeushikia bango!...Mzizi wa Mbuyu, mimi ni moja ya mashabiki wakubwa wa muziki wa reggae, na pia ni moja ya mashabiki wa Lucky Dube. Kwa muda mrefu uvumi huo ulinisumbua sana kichwani kwangu, hasa nilivyomjua Lucky Dube kupitia muziki wake. Nilijaribu kutafuta uhusiano wa kimuziki kati ya Dube na Senzo, sikuwahi kuupata, sasa juzi hapa niliporusha hii makala, hilo nalo likaibuka kuwa Dube alimuua Senzo. Hapo ndipo nikapata shauku ya kutafuta tena ukweli wa hilo kwa bahati nzuri ndipo nikakutana na hiyo documentary iliyorushwa kwa mara ya kwanza mwaka 2015. Kifupi na mimi nimekuja kuujua ukweli juzi tu hapa, ila nyuma ya tarehe 18/10/2017 nilikuwa niko njia panda, na mbaya zaidi hakuna chanzo mfano gazeti ama mtandao wa kuaminika ulioweza kunipa full story ya Senzo. Kitu ambacho nimekuja kugundua ni kuwa uvumi huu ulianzia South Africa kwenyewe. Mbaya zaidi familia yake Senzo haikufanya jitihada kukanusha uvumi huo. Anyway, natafuta namna ya kuuweka ukweli huu zaidi ya hapa ili dunia ijue juu ya hili. Habari mbaya husambaa sana na kuzifuta huwa inachukua muda kidogo.
Ndugu yangu hii habari ya Senzo kupigwa risari na Vijana waliotumwa na Dube nilianza kufuatilia kwenye mitandao nafikiri siku ile tu Dube alipokufa, sikuona connection yeyote!! Nilifuatilia majina ya wanamziki wa Dube toka alipoanza sikuona jina wala sura ya Senzo!! Lkn mbaya zaidi hakuna chombo cha habari kilichowahi kuripoti uvumi huu ambao TZ tumeushikia bango!...
Naomba upandishe hiyo video iwe na summary ya tafsiri kuwa Dube hakumuua Senzo, Senzo bado yuko hai!!! Inasikitisha sana
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu, hii uzushi haikuanzia Tanzania. Kwenye hizi social media, watu wengi nchi mbalimbali walikuwa puzzled. Watu wa Zimbabwe, Kenya, Malawi, na maeneo mengi ya Afrika hawakuwa wanajua kilichotokea. Tatizo naloliona ni media za nchini kwake kushindwa kuripoti hii issue kuwa jamaa alipatwa maambukizi ya cerebral malaria. Sijajua ni kwa nini habari ya mtu kama huyu media za kwao zikakaa kimya, maana naamini zingesema kitu, uvumi huo usingekuwa hivi ulivyo. Nimeumia zaidi kumuona katika hali aliyonayo, kiukweli inahitajika kazi kubwa sana ili aweze kurudi kwenye level ile. Anyway, mengine tumuachie Mungu maana ana makusudi yake.
It's not easy I.call.mama on the telephone.I told mama am getting married....mama replied did you take.a time to know her....I say to.mama she is fined....Its not easy........ Thats the way it is!! RIP Dube