Lucky “Moyo mashine” afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Dea wee acha tyuuuuh, mbaya zaidi hawana wanalolijua kwangu zaidi ya kunihusisha na tulizo la hisia zangu.

Kamwee siishi watakavyo, naishi nitakavyo. Naenjoy life n proud ma self.
Safiiiiii, usijibizane nao, just laugh out loud, watajijua wao ni wajinga.
 
Sure!!
 
Ndio maana hata vitabu vitakatifu vilikataza hyo kitu, chakusikitisha huyu lucky madanga yake yote yalimsusa na ndugu hawajulikani
Daaah Watu Katili Sana....Wamemtumia Weee,Mwishowe Wameshindwa Kumsaidia....

Ila ninashangaa Kwani Hao Jamaa Wanakuwa Na Umoja Sana...nashangaa kwa KUMTENGA....may be alikuwa STRONG COMPETITOR kwao ama aliwaibia wenza....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…