Lucky “Moyo mashine” afariki dunia

Lucky “Moyo mashine” afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Dea wee acha tyuuuuh, mbaya zaidi hawana wanalolijua kwangu zaidi ya kunihusisha na tulizo la hisia zangu.

Kamwee siishi watakavyo, naishi nitakavyo. Naenjoy life n proud ma self.
Safiiiiii, usijibizane nao, just laugh out loud, watajijua wao ni wajinga.
 
Sababu ngoma haiongelewi na media kama corona vijana wanahisi imeisha..

Kinga hawataki wanasema zinapunguza utamu na zinawachubua

Vaa condom ...kisha paka ky jelly.. laza kama kavu kavu tu mwanamke anaona kama hujavaa kinga tu anaenjoy...na usalama wenu wote unakuwa upo juu
Sure!!
 
Ndio maana hata vitabu vitakatifu vilikataza hyo kitu, chakusikitisha huyu lucky madanga yake yote yalimsusa na ndugu hawajulikani
Daaah Watu Katili Sana....Wamemtumia Weee,Mwishowe Wameshindwa Kumsaidia....

Ila ninashangaa Kwani Hao Jamaa Wanakuwa Na Umoja Sana...nashangaa kwa KUMTENGA....may be alikuwa STRONG COMPETITOR kwao ama aliwaibia wenza....
 
Mara ya kwanza nilidhanig ni demu
FB_IMG_15983806586275635.jpeg
FB_IMG_15983806768415293.jpeg
FB_IMG_15983807603703153.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom