Luckyline live interview on DJ sepetu show!!

Luckyline live interview on DJ sepetu show!!

[QUOTE="DJ Sepetu, post:
Shoots to
Sergio
Young blood
Kichwa kichafu
Niyombare
Beira baby
Joanal
Othmo..
Numbisa
Shunie
Emmyta
Sakayo
Linamo
Carba
Stable woman
Etc...
Welcome all members!
mbona m hujanitaja mkuu dj[/QUOTE]
Mkuu wewe umetajwa hapo kwenye Etc!
 
[QUOTE="DJ Sepetu, post:
Shoots to
Sergio
Young blood
Kichwa kichafu
Niyombare
Beira baby
Joanal
Othmo..
Numbisa
Shunie
Emmyta
Sakayo
Linamo
Carba
Stable woman
Etc...
Welcome all members!
mbona m hujanitaja mkuu dj[/QUOTE]
Mkuu wewe umetajwa hapo kwenye Etc!
 
Lucky karibu sana,swali la kizushi ushawahi kwenda kwa mganga au kalumanzira au mtaalamu Wa majini ama mtabiri Wa nyota?
Kwann ulienda!
 
mkuu dj... vyema ukaorganize kama ni interview iwe mara mbili au tatu kwa wiki, au iwe weekends....
its boring kila siku mtu anawekwa kikaangoni, kuna siku kama sio jana ni juzi uliweka watu wawili kikaangoni.... hii ishu inapoteza ladha na dhana nzima ya tukio lenyewe, watu hawachukulii siriazi pia ule msisimko unakua haupo.... lingine jitahidi uwe creactive katika maswali unayouliza....uliza maswali ya msingi, hizi interview haziburudishi tu bali zinaelimisha, watu wanashea ujuzi na vitu mbalimbali..... kwa nn nasema hivi? kuna mda unauliza mda mrefu sana huku audience wakipewa muda finyu,mda mwingine unatumia karibia masaa matatu, hata huyo anaehojiwa anakua keshachoka,sijui hili utaweka utaratibu gani ili mambo yawe sawa......
tuko pamoja ndani ya show
 
Back
Top Bottom