mkuu dj... vyema ukaorganize kama ni interview iwe mara mbili au tatu kwa wiki, au iwe weekends....
its boring kila siku mtu anawekwa kikaangoni, kuna siku kama sio jana ni juzi uliweka watu wawili kikaangoni.... hii ishu inapoteza ladha na dhana nzima ya tukio lenyewe, watu hawachukulii siriazi pia ule msisimko unakua haupo.... lingine jitahidi uwe creactive katika maswali unayouliza....uliza maswali ya msingi, hizi interview haziburudishi tu bali zinaelimisha, watu wanashea ujuzi na vitu mbalimbali..... kwa nn nasema hivi? kuna mda unauliza mda mrefu sana huku audience wakipewa muda finyu,mda mwingine unatumia karibia masaa matatu, hata huyo anaehojiwa anakua keshachoka,sijui hili utaweka utaratibu gani ili mambo yawe sawa......
tuko pamoja ndani ya show