Mekumic mpenzTumoo wangu nakupenda tu
Burudani za babu humu ndani zinafunika burudani za interview yenyewe!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Umeenda na mwanao au umemwacha kwa cuzo wako?
mmh! Ok tumezaliwa wanne mimi ni kwa kwanza.Mtandao unasumbua sana!
1.lucky tupe historia yako kwa ufupi,Na taaluma yako pia
Vilevile unachofanya kwa sasa
Hahahaahaa LOLBurudani za babu humu ndani zinafunika burudani za interview yenyewe!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha kwani yapo ya aina ngapi?!Lipi Tena[emoji23] [emoji23]
Mzima lakini?
Kazi ipoHivi mbona unatuchanganya? ???
Una interview ngapi mara imehairishwa mara inaendelea
nimeliona mkuu nimependa kujibu hivyo nisamehe hope umeelewa.Umeona swali la pili?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msalimie[emoji28] [emoji28]
Nakusalimia[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji124] [emoji124]
Hata sijui[emoji28] [emoji28] [emoji28]Hahahaha kwani yapo ya aina ngapi?!
Mm mzima kbs hofu kwako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] doh grandpa hujaona kaanzisha nyingine kule ya Lara1
Hana msimamoKazi ipo