Luckyline live interview on DJ sepetu show!!

Luckyline live interview on DJ sepetu show!!

Mkuu DJ Sepetu.

Mbona kama kuna interview mbili kwa wakati mmoja.

Yaani ule ushauri watu waliokupa wewe umeufanya vice verca kabisa..

Badaya hata ufanye kila week interview 2 weww umeamua upige interview mbili kwa siku...?

Au huu uzi Lara l live interview on DJ sepetu show!! ni batili ?

Mkuu soma hiyo quote hapo chini, itakujulisha kama uendelee kushauri au uachane na hilo zoezi la kushauri.

Mimi binafsi nimeacha.

Sio hardtalk but hottalk!!!!

Tunashukuru kwa wale waliotupa mashauri yao,ila mwisho Wa siku
Tumeona tutakuwa tunatoka ndani
Chitchat jukwaa,so lazima tutupiane
Vimaneno ambavyo vitanogesha interview show, Na kupunguza boredom!
 
Back
Top Bottom