Lucy Kihwele and Bongo Movie katika DSTv

Sumba-Wanga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
5,353
Reaction score
1,234
Dada Lucy,

Nakupa shavu kwa ku-promote Tanzanians (bongo Movies) kwenye DSTv.

Lakini, nina Machache kuhusu quality of these films. Kwanza kabisa, kiingereza ambalo ni tatizo kubwa sana kwa watanzania. Kiingereza kinachotumika... leaves a lot to be desired. Dada Lucy, hulioni hilo? Kinachoongelewa kwenye films na kinachoandikwa ni tofauti kabisa! Kwani hawawezi kabisa kuwaelekeza wapeleke kwa editoirs wazuri kupunguza umaimuna? Kwa kweli, ukizingatia kuwa hizo series zinaangaliwa Africa nzima, kwa kweli ni aibu kubwa sana.

Naomba nisizungumzie quality and themes of those films....

Mwisho kabisa, napenda sana kuwapongeza kwa kazi nzuri, big up, ila tunaomba mrekebishe hayo machache......
 
Mbona huyo lucy kashaondoka Dstv kitambo
 

Mbona wewe mwenyewe unahitaji kushauriwa juu ya matumizi mazuri na sahihi ya lugha kuliko hao waandaaji wa hizo movie za kibongo?
 
Mbona huyo lucy kashaondoka Dstv kitambo


Hata mimi nashangaaa Lucy na Dstv wapi na wapi?? nafasi ya lucy inashikiliwa na Barbra Kambogi na Lucy yupo Starndard Chatered i think..sina hakika sana
 
Ni kwanini nafasi ile akapewa Barbara Kambogi ile nafasi hakuna mtanzania mwenye qualification kweli. Haya ndio mambo hatuyataki na katika katiba mpya lazima yabainishwe. Wana tujazia wakenya tuu utadhani Barclays hapa, wakajazane Kenya commercial bank maana ni benki yao. Mi napinga kabisa wageni kuchukua ajira zetu.
 
mtoa mada upo wapi mbona umekimbia majukumu hapa?
 
hizi movie za kibongo wanaigana halafu waigizaji wanaigiza kwa jazba mpaka wanaboa unaweza ukanunua movie kwa kuvutiwa na kava lake ila weka uanze kuangalia vituko vitupu
 

Wakati wanazichukua wewe/sisi tulikuwa wapi?! Kwani wanapewa tuu kama njugu?
 
Mtoa uzi vp mbona umekimbia? Lucy mbona kashasepa mda mrefu hapo,pia na wewe unaitaji ushauri maana unaonekana ni mtu wa kukurupuka!!
 


Barbra ni mtanzania kaolewa na mkenya..achaga kukurupuka!!! kwani ukioa ama kuolewa unapoteza hadhi yako ya utaifa??? Masaburi was very right..
 


nakuunga mkono "wageni wamezidi hapa kwetu jamani siwaende kwao"
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli hatuhitaji wageni nchini kwetu tunahitaji rare proffessionals kwenye nafasi za kazi ambazo watanzania tumekosekana watu kama Laboratory engineers etc. Huyu Barbara ni mkenya na alikuwa DSTV kenya usiwe mbishi angalia source yako vizuri. Nenda Botswana halafu uoe raia uone kama utapata kazi kisenge senge.
 
Mbona wewe mwenyewe unahitaji kushauriwa juu ya matumizi mazuri na sahihi ya lugha kuliko hao waandaaji wa hizo movie za kibongo?

I reckon you are right! But, but, but, how many people are reading JF? How many people are watching DSTV? Have you asked yourself this question and many more othersbefore you wrote?

Probably, How I use my language is not important as how they use English in Bongo Movies....
 
Hata mimi nashangaaa Lucy na Dstv wapi na wapi?? nafasi ya lucy inashikiliwa na Barbra Kambogi na Lucy yupo Starndard Chatered i think..sina hakika sana

You are not very sure!

Okay that is not a point, but, who promoted Bongo movies on DSTv should take responsibilities...
 

This should be the spirit. Appoint people who are qualified. I am wondering if all of us are watching DSTV channel 127.
 
hizi movie za kibongo wanaigana halafu waigizaji wanaigiza kwa jazba mpaka wanaboa unaweza ukanunua movie kwa kuvutiwa na kava lake ila weka uanze kuangalia vituko vitupu

This is exactly what I was referring when I said... I do not want to touch the themes and quality of the movies...

JAmani, jamani, jamani, we need to change.....

Director : Vincent Kigosi

Producer: Vincent Kigosi

Script writer> Vincent kigosi

It is endless........
 

No wonder ana promote films za kijinga za Tanzania.
 



bado moja...Main character :Vincent Kigosi.
Na tatizo lingine huwa zinaandaliwa mpka kuwa tayari kwa wiki moja tu ,sasa watapata wapi muda wa kuediti.
 
Bongo movies kwa kweli tunahitaji tubadilike nimewauliza karibu waafrika 20 kwa nayakati tofauti na nchi tofauti ambao wameona DSTV channel 127 wote hawapendi bongo movies si kwa sababu ya Theme bali quality, events, effects, wrong subtitles. Kiingereza ambacho sio dialogue za kawaida. Kina wasiwasi mjitahidi kuweka subtitle za ukweee... even Kenyans they dont like Bongo movies. Kuna aina fulani ya watu ndio wanapenda hizi movies katika East and central Africa region, mfano wa congo ambao wanakuja kusubiri mizigo bandarini dsm na wako exposed na tanzania kidogo, people from ghetto hoods wa burundi huko, wanyasa waliowahi kufanya kazi za ndani bongo na kurudi nyasaland sababu wanajua kiswahili. Na hii biashara ya Part 1 n 2 inakatisha watu tamaa. Sasa hivi nigeria movie industry imesurge ndio maana wanabase sana kwenye reality tv prog. Labda wale wenye majina maarufu ndio africa wanaangalia kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…