Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Dada Lucy,
Nakupa shavu kwa ku-promote Tanzanians (bongo Movies) kwenye DSTv.
Lakini, nina Machache kuhusu quality of these films. Kwanza kabisa, kiingereza ambalo ni tatizo kubwa sana kwa watanzania. Kiingereza kinachotumika... leaves a lot to be desired. Dada Lucy, hulioni hilo? Kinachoongelewa kwenye films na kinachoandikwa ni tofauti kabisa! Kwani hawawezi kabisa kuwaelekeza wapeleke kwa editoirs wazuri kupunguza umaimuna? Kwa kweli, ukizingatia kuwa hizo series zinaangaliwa Africa nzima, kwa kweli ni aibu kubwa sana.
Naomba nisizungumzie quality and themes of those films....
Mwisho kabisa, napenda sana kuwapongeza kwa kazi nzuri, big up, ila tunaomba mrekebishe hayo machache......