Lucy Komba ampelekea mzungu mwanae amlee

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
STAA wa filamu Bongo ambaye miezi michache iliyopita alifunga pingu za maisha na mwanaume mwenye asili ya Denmark , Lucy Komba amekwea pipa
kuelekea nchini humo kwenda kuishi na mumewe sambamba na kumpelekea mwanaye amlee.

Akipiga stori na paparazi wetu kupitia Mtandao wa WhatsApp akiwa nchini Denmark , Lucy alisema aliamua kuondoka kimyakimya na kumfuata mumewe kwa kuwa alimisi mambo mengi kwake , pia suala la ndoa halimuhitaji aishi mbali na mumewe na kwa kuwa mwanaume huyo anampenda sana mtoto wake japo hajazaa naye ndiyo maana akaamua kuondoka naye akamlee.

"Najua mtu anaweza kuongea vyovyote , mimi nilimmisi mume wangu na mwanangu naye alitamani sana kuja kumsalimia baba yake ndiyo maana nikamleta huku amlee ila baadaye atarejea Bongo , " alisema Lucy
 
Attachments

  • 1419320997576.jpg
    49.7 KB · Views: 2,121
Nenden mkafanywe ma house girl na ma house boy, eti unampeleka kwa baba yake, nyoo baba yake si muuza mkaa kule kigogo
 
Nenden mkafanywe ma house girl na ma house boy, eti unampeleka kwa baba yake, nyoo baba yake si muuza mkaa kule kigogo
Ha ha ha binamu hebu weka kapicha kengine anakoonekana vizuri nimjue, mi namsikiaga ila simjui...
bongo movie nawajua lulu na wema tu!!!
 
Ametumia thermometer kupima upendo wa step father kwa mwanae au! na anamwambia nani na ili iweje
 
Nenden mkafanywe ma house girl na ma house boy, eti unampeleka kwa baba yake, nyoo baba yake si muuza mkaa kule kigogo

Afu binamu ake nlikuulizaga hivi Hugo mtoto ndo alizaaga na mdogo wake Emanuel Mbasha au?
 
Lucy kumbe ana mtoto,nilikua sijuuiii,nenda nae mwayaaa akipenda boga apende na ua lake
 
Lucy kumbe ana mtoto,nilikua sijuuiii,nenda nae mwayaaa akipenda boga apende na ua lake

Ndio ana mtoto, kuna kipindi alikuwa anaishi pika pakua na mdogo wake IMA Mbasha....na yeye Mario tuu...
 
Mhuu!!mbona sawa tu?kuna shida kwani?Hata akiamua kumpeleka na mamake mzazi!Ni makubaliano yao tu!
 
Nenden mkafanywe ma house girl na ma house boy, eti unampeleka kwa baba yake, nyoo baba yake si muuza mkaa kule kigogo

Be nice jamani .Life is good to be sweet and nice .merry christmas .God loves you
 
Hongera Lucy
 
Ha ha ha binamu hebu weka kapicha kengine anakoonekana vizuri nimjue, mi namsikiaga ila simjui...
bongo movie nawajua lulu na wema tu!!!

ahahaha we nae, huyu bibie mttata kwel kuna movie kaigiza inaitwa fundi seremala wee umo lucy komba kawa mcharuko chausiku nyuma, ni muigizaji mzur sana lucy lulu anasubir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…