Lucy Komba ampelekea mzungu mwanae amlee

Lucy Komba ampelekea mzungu mwanae amlee

Huyo dada ni mzuri, af yupo natural, napenda anavoongea km analazmishwa vile, sipati picha ukiwa unasimamia kucha hapo atakua analalamikaje! Acha hata km super mario maana kwa yale macho ya Lucy km anataka kukupa kweli hukatai *****
 
Hahahaha yani watu mna maneno balaaa

mzungu kapauka mwenzangu looh hapana kwa kwel , halafu hana sickle cell huyo? kakondeana kama mbwa coco, hao wazungu watawauwa dada zetu nfyuuu
 
mzungu kapauka mwenzangu looh hapana kwa kwel , halafu hana sickle cell huyo? kakondeana kama mbwa coco, hao wazungu watawauwa dada zetu nfyuuu

Hhhhhaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom