Lucy komba amshangaa aunty kukaa mbali na mumewe

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MWANADADA anayefanya poa kwenye anga la filamu Bongo, Lucy Komba amejikuta akibaki na viulizo vingi kutokana na kitendo cha msanii mwenzake, Aunt Ezekiel kuishi mbali na mumewe anayefahamika kwa jina la Demonte kwa kipindi kirefu, jambo ambalo yeye hawezi kulifanya.

Akizungumza na paparazi wetu, msanii huyo alisema kitendo cha Aunt kuolewa na kuishi mbali na mumewe kinamfanya abaki na maswali mengi kichwani, sababu wanandoa kuishi mbalimbali husababisha wahusika kuumizana kichwa kwa kiasi kikubwa na kukosa amani ya moyo .

"Namshangaa Aunt anawezaje kuishi mbali na mumewe kwa kipindi kirefu, binafsi siwezi . Kama hivi ninavyotarajia kuolewa hivi karibuni , nimekubali kuachana na dili zangu zote za hapa Bongo, nikiolewa naenda kuishi Denmark kwa mume wangu, " alisema Lucy Komba.
 
Akaishi na Demonte jela? Huu ni uchokozi sasa, labda nia yake ilikuwa kuwapa umbea wabongo kwamba ana bwand Dernmark. Ila huyo isije akawa nae kaolewa na mtu huko Danish.
 
Haya Lucy tushajua kama unaolewa hivi karibuni na utaenda kuishi Denmark. Muache cheusi wetu yeye ndo anajua makubaliano yake na mumewe.
 
Sasa yeye na aunty wana tofaut gan? Kama akiolewa n mzungu bas yatakuwa yale yal ya aunty mume ulaya ,mke bongo
 
Haya Lucy tushajua kama unaolewa hivi karibuni na utaenda kuishi Denmark. Muache cheusi wetu yeye ndo anajua makubaliano yake na mumewe.

Cheus dawa lucy nae anatafuta kick kupitia aunty, sasa yeye yanamuhus nini? Kama aunty kaolewa na mtu anayeish nje na yeye atakuwa hivy hvyo so wasichekane, asitegemee kuish ulaya na mumew siku zote za ndoa

Ukistaajabu ya sauda mwilima kuolewa na mwanaume anayeishi south mke bongo na kufanya tendo la ndoa mara mbili, utayaona ya uwoya kuolewa na ndikumana cyprus
 
Ahahahahhhhh.... binamu una vituko si haba

Kwakwakwakwakwakwakwakwa binamu umenichekesha balaa. Ila global ni noma jamani, wanajua hadi watu mnafanyaa tendo la ndoa mara ngapi uwiiii
 
Hivii huyu Lucy baba yake ndio Komba au anamuita Lulu mamdogo etiiii
 
MWANADADA anayefanya poa kwenye anga la filamu Bongo, Lucy Komba amejikuta akibaki na viulizo vingi kutokana na kitendo cha msanii mwenzake, Aunt Ezekiel kuishi mbali na mumewe anayefahamika kwa jina la Demonte kwa kipindi kirefu, jambo ambalo yeye hawezi kulifanya.

Akizungumza na paparazi wetu, msanii huyo alisema kitendo cha Aunt kuolewa na kuishi mbali na mumewe kinamfanya abaki na maswali mengi kichwani, sababu wanandoa kuishi mbalimbali husababisha wahusika kuumizana kichwa kwa kiasi kikubwa na kukosa amani ya moyo .

"Namshangaa Aunt anawezaje kuishi mbali na mumewe kwa kipindi kirefu, binafsi siwezi . Kama hivi ninavyotarajia kuolewa hivi karibuni , nimekubali kuachana na dili zangu zote za hapa Bongo, nikiolewa naenda kuishi Denmark kwa mume wangu, " alisema Lucy Komba.

Sikuzote ngamia ukimweka nje huwa ni wa maonyesho ukimweka ndani itakuwa ni kichekesho.
 
siku zote ngamia ukimweka nje huwa ni wa maonyesho' ukimweka ndani itakuwa kichekesho'
 
Akaishi na Demonte jela? Huu ni uchokozi sasa, labda nia yake ilikuwa kuwapa umbea wabongo kwamba ana bwand Dernmark. Ila huyo isije akawa nae kaolewa na mtu huko Danish.
Labda anahisi Aunt Ezekiel ni dangerous kwa mkaka shost ake!
 
MWANADADA anayefanya poa kwenye anga la filamu Bongo, Lucy Komba
Ndo huyu Lucy 2.jpg , au? Manake kuna siku nilikuwa nae mahala lakini ambacho nilikuwa nafahamu ni kwamba ni mwigizaji, basi... nilikuwa sifahamu jina lake since then!! Kama ndio mwenyewe, basi sina shaka kwamba kauli yake haikuwa ya kutaka chkochoko coz' she seems to be a decent woman!!
 
Ndo huyu View attachment 182326 , au? Manake kuna siku nilikuwa nae mahala lakini ambacho nilikuwa nafahamu ni kwamba ni mwigizaji, basi... nilikuwa sifahamu jina lake since then!! Kama ndio mwenyewe, basi sina shaka kwamba kauli yake haikuwa ya kutaka chkochoko coz' she seems to be a decent woman!!

Yes she is, na hanaga scandal huyu dada, pia nasikia kwao maisha bora
 
Kama ndo mwenyewe basi namkubali huyu dada, anajitambua, she's cool, si mtu wa mbwembwe... she's some kind of Monalisa type, yupo kwenye game long time kitambo lakini kama unavyosema, huwezi kusikia skandali za kipuuzi dhidi yake
 
Na ndiye aliyewatoa mastaa kama wolper,uwoya,yusuph mlela na mastaa kibao, anajua sana demu
 
Anajua kuigiza huyuuu huyi ndie mtoto wa komba au yule Lucy mweupe
 
Back
Top Bottom