Lucy komba: Mapenzi ya wabongo wizi mtupu

Mmh hapana this is too much aisee. Naona alikuwa kapania kweli kuolewa ili tumkome
nadhani alisema nikifunga ndoa watanikoma.sasa ataenda kukoma huko kwa hao anaowasujudu pale atakapoletewa mbwa ale nae sahani mojaulimbukeni tu mxieeeeeeew
 
Huyo mdenmark nae ndo wale wale, bora nikuunganishie kwa rummy wa julie mimacho, ila huyo mden mark hamna kitu apo
anaonekana homeless mzoefu.mzungu gani hata fakesmile hakuna ka kalazimishwa bwana
 
tabia ni kama ngozi haifichiki.sasa ndo tunamwona true lucy.ulimbukeni.com inaitwa Heaven Sent
 
Last edited by a moderator:
Ulimbukeni mbaya mno ndugu yangu

yaani mtu akishakua limbukeni tu namchukulia kama mgonjwa wa akili maanake hakawii kutembea uchi sikumoja.na hii iwe fundisho kwa wengine wanaoplan waje kutukomoa na ulimbukeni mkojo wao...pumbavu zao.
 
Basi mpenzi yaishe nna kaka zangu wawili nna shemeji zangu watatu hawajaoa kabisaaa
Ila masharti uwe umejaa tupaja hata Neema za allah uwe nazo u know mbebeziiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…