Lucy komba: Mapenzi ya wabongo wizi mtupu

Lucy komba: Mapenzi ya wabongo wizi mtupu

Nadrive binamu, nikifik om ntakurushia, si unajua ndo natok ikulu

Binamu una gari yaan kufika ikulu ukapata na gari mmmh watakukomaje kina fulani ni kuwamwagia tope na kuwaachi msonyo wa vumbiiii tu
 
Nipo na nissan note utanktaka binamu

Eeeeee binamu spati picha kwa sasa hivi maubuyu kuyapata ni virahisi tu eti,sasa ukifika home utupr maubuyu ya Meninah na Daimond au sio
 
Kumbe ni private user hadi ani accept huyu cheusi dawa nitakuta ubuyu umepoa

Basi hiyo private kaweka ivi karibuni baada ya watu kumuongelea sana mitandaoni, maana tulivyomchamba humu kuhusu ndoa yake, watu wengi wakawa wanatamani kumuona na kumfuatilia uko insta, naona siku izi followers wanamiminika tu kila siku
 
Niliona Mange kamsaidiaa hhhaaaaa chama cha wake wa wazungu
 
amkomeshe nani?!!!
nineolewa b4 yeye tena under 30 years sina habariii
tena ndoa ilikuja mlangoni wala si ya nyungu au kwa gwajima!!!
yeye tu na hashuo zake za mbaazi

aaah huu mpasho hatariiiiiiiiii,hebu tuambie mwenzetu ndoa ilikufuata vipi mlangoni???haluuu ,below thirty ulikuwa unajielewa au futat mkumbo??heheheiyaaaaaaaaaaa.la na yy ndo uamuzi wake kuolewa akiwa matured mumuwacheeeeeeee
 
Back
Top Bottom