Lucy komba: Mapenzi ya wabongo wizi mtupu

Hhhhhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wakaogeeeeeee Team lucy komba kumbe nae ana timu mabwakuuu

Nashanga.....anadai ana timu, na Bakhresa asemaje na Azam yake!!!!
Wanasubiri wamwagane waje kujishaua eti #team Single mother...... ni sheeeeedahhhhhh.
.......hahhahahah, mwambie na dog anamsubiri
 
Dinazarde

....mwambie mumeo ana uwezo wa kukukunja mpaka ulambe dolegumba la mguuni.
Mzungu kitu gani bhana....mwambie ukitaka utampaka mumeo Dodo au Karolait ili afanane na mume wa Lucy babu weeeee.....kwan sh ngap!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Huyo lucy naye limbukeni tu.. Anavyosema mapenz ya bongo ni wizinn yeye ni mzungu??? aache kutukashifu.. Vinginevyo yakimkuta ajifungie ndani
 
Huyo lucy naye limbukeni tu.. Anavyosema mapenz ya bongo ni wizinn yeye ni mzungu??? aache kutukashifu.. Vinginevyo yakimkuta ajifungie ndani

Limbukeni tu...
Kajua kuliwa tigo ukubwani na huyo mzungu basi imekuwa shida.
 
Madame B

Hainaga beiiiii ,,kwiii kwiiiiii wengine wanaume weupe sie hatushobokeagiiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Anasema wazungu hawachepuki... Ahhh amechemka..... Kuchepuka ni tabia ya mtu bhana.... Awe mzungu mweusi mhindi.... Wote huchepuka.. Ndoa yake isiwe chanzo cha kuwatukana watanzania
 
Hainaga beiiiii ,,kwiii kwiiiiii wengine wanaume weupe sie hatushobokeagiiiiiii

Umeona eeeee....kitu black ndo mpango mzima....akivua nguo, mzani huo...ukiupaka mafuta una meremeta, mishipa ileeeeeeeeee.
Mzungu....ptuuuuuu, na hivo ndo ana govu anipishie mbali
 
Anasema wazungu hawachepuki... Ahhh amechemka..... Kuchepuka ni tabia ya mtu bhana.... Awe mzungu mweusi mhindi.... Wote huchepuka.. Ndoa yake isiwe chanzo cha kuwatukana watanzania

Kwanza aidha anamtukana dada, kaka, au jamaa yake yeyote aliyeoa mtanzania mwenzake.
Yaani huu ulimbukeni wa sisi watanzania wa kudhani kuolewa na white people ndo kila kitu, sijui utaisha lini.
Namuonea huruma mzazi wake aliyemsomesha Lucy, halafu elimu aliyopata hajajitambua nayo mpaka leo.
 
Dinazarde

Umeona eeeeeeee......
Watu hapa tuko weupe from unywele to ukucha.
tushasahau kama tuna marinda au laaa!
......Hahahahah,
Raha ya ubwabwa matandu, utamu wa mwanamke chachandu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…