Nakuomba ugoogle "lucy komba utamjua ni nani" sawaaa
Hhhhaaaa nisingekuona kwenye huu uzi leo ningetembea uchi mtaan kwetu
Unaweza kutembea uchi wewe? basi km unaweza anzia mtaani kwetu mwinjuma.
Sasa shoga yangu mpaka huna rahaa?? Hhhhhhaaa unanichekeshaa
Nimemsoma....bongo movie celebrity
Nyimwa vitu vyote ila usipewe ushamba. Waliosema ushamba mzigo hawakukosea.
mmh.majungu hayo.kwani kajiongelesha mwenyewe c magazeti ya udaku ndo yanamwuliza.kaaaa!
yaaani aisee
mzungu!!mzungu!!!denmark denmark!!!
jamani
yaani kils siku mume mume...
wa blu au mwekundu...!$
Nilijua utasema nianzie mtaan kwenuu
Watu bwana....kwa hiyo kama alifuatwa na gazeti hilo ili azungumzie ndoa yake mlitaka aongee nini? Mbona mnawapangia watu cha kuongea?
Nyimwa vitu vyote ila usipewe ushamba. Waliosema ushamba mzigo hawakukosea.
Naona leo upo jukwaa lako pendwa baada ya jana kutiririka sana jukwaa la siasa.
Nyimwa vitu vyote ila usipewe ushamba. Waliosema ushamba mzigo hawakukosea.
Atakua ni wa blue mwenzangu
mmh.majungu hayo.kwani kajiongelesha mwenyewe c magazeti ya udaku ndo yanamwuliza.kaaaa!
Kweli kwa madada wa kibongo kuolewa na mzungu ni bonge la bahati kwao.
Huyu dada naona kachanganyikiwa hakuwahi kutegemea yani kwake kuwa mke wa mzungu ni sawa na bahati ya mpiga debe kupewa uwaziri.
Mnauhakika na hzi source za habar?????? Maana wakosa kaz cku hz weng