Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hhhhaaaaaaaaa loooo wigi la kijani,gauni la kijani kwa kwel watazimiaaa
lala ukue
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhhhaaaaaaaaa loooo wigi la kijani,gauni la kijani kwa kwel watazimiaaa
lala ukue
naangalia miss tanzania lo angalia nawe kuna binti anashiriki namfaham ni shidaaaaaa
Huyu dada kwa kwel sasa amezidisha too much khaaaa.... Toka aolewe na hilo shela kama chandarua cha hati punguzo ishakua shida mjini hebu atupishe sie ptuuuuKweli kwa madada wa kibongo kuolewa na mzungu ni bonge la bahati kwao.
Huyu dada naona kachanganyikiwa hakuwahi kutegemea yani kwake kuwa mke wa mzungu ni sawa na bahati ya mpiga debe kupewa uwaziri.
Mmmhhh
Tutakoma mbona!
Tusubiri akiwananaondoka kwenda huko Denmark kumfuata tutapewa habari tu
Akizungumza na Udaku Magazine, Lucy alisema kwa sasa amebaki Bongo peke yake ikiwa ni baada ya mumewe kwenda kwao Denmark ambapo alitakiwa kurudi kazini lakini bado anafanya maandalizi ili amfuate.
"Mume wangu alikaa kwa wiki mbili tu baada ya kufunga ndoa nikamwambia aniache ili nimalizie kufanya maandalizi ya kumfuata huko kwao Denmark ambapo mpaka sasa sijajua nitaenda lini maana bado sijamaliza mambo yangu ila tunaaminiana na tumeshazoea kwani tangu wakati wa uchumba tulikuwa tuko mbalimbali lakini nitaenda.
"Nikienda huko nitakaa kwa miezi mitatu nitarudi hapa Bongo kusalimia na kukaa kama wiki kadhaa, nampenda sana mume wangu na ninammis kwa kweli," alisema Lucy Komba.