Lucy Komba: Nimeishi na mr. Wiki mbili tu

Lucy Komba: Nimeishi na mr. Wiki mbili tu

Kweli kwa madada wa kibongo kuolewa na mzungu ni bonge la bahati kwao.
Huyu dada naona kachanganyikiwa hakuwahi kutegemea yani kwake kuwa mke wa mzungu ni sawa na bahati ya mpiga debe kupewa uwaziri.
Huyu dada kwa kwel sasa amezidisha too much khaaaa.... Toka aolewe na hilo shela kama chandarua cha hati punguzo ishakua shida mjini hebu atupishe sie ptuuuu
 
Mmmhhh
Tutakoma mbona!
Tusubiri akiwananaondoka kwenda huko Denmark kumfuata tutapewa habari tu
 
Akizungumza na Udaku Magazine, Lucy alisema kwa sasa amebaki Bongo peke yake ikiwa ni baada ya mumewe kwenda kwao Denmark ambapo alitakiwa kurudi kazini lakini bado anafanya maandalizi ili amfuate.

"Mume wangu alikaa kwa wiki mbili tu baada ya kufunga ndoa nikamwambia aniache ili nimalizie kufanya maandalizi ya kumfuata huko kwao Denmark ambapo mpaka sasa sijajua nitaenda lini maana bado sijamaliza mambo yangu ila tunaaminiana na tumeshazoea kwani tangu wakati wa uchumba tulikuwa tuko mbalimbali lakini nitaenda.


"Nikienda huko nitakaa kwa miezi mitatu nitarudi hapa Bongo kusalimia na kukaa kama wiki kadhaa, nampenda sana mume wangu na ninammis kwa kweli," alisema Lucy Komba.

Muongo mkubwa Lucy,hampendi lolote mumewe,kampendea hela tu,eti "nampenda sana mume wangu",huna lolote Lucy angekuwa dereva wa daladala au mpiga debe ungempenda? nyie mnadhani neno 'kupenda' ni rahisi? umefuata uchumi tu hakuna kingine.
 
Back
Top Bottom