Tuna uhakika, ova
Duh bas huyu bint kaz anayo
Hawa wazungu na Tigo!kazi anayo
Hhhhaaaa yaan hapo alituvunja mbavu aiseee warumi wangu alicheka balaaaa
Na gauni lake la kipaimara
Jaman weken picha na ce tuone huo mwereka °
Waweka picha wakija watakuwekeaaa,au google tu
Hahahaaaa ngoja nigoogle lucykomba mwereka na s5
Tuna uhakika, ova
hahaaaaa!!!!
Ncheka unenepe shoga
Nipo nacheza ndombolo aaa chezea kofi olomide
wacha weee!!!
unayarudi mayenuu
Alaaa si unajua siku moja moja unachezesha viungo
Hawa wazungu na Tigo!kazi anayo
Yani tumejutraa kumfahamu mwaka huu. Ndo maana alizama kwenye maji na galaxy yake hahahahaha
Hhhhaaaa yaan hapo alituvunja mbavu aiseee warumi wangu alicheka balaaaa
Na gauni lake la kipaimara
Utachekaa alimechisha mwenzio viatu vyeupe,shela jeupe na simu nyeupe,bahati mbaya wakazama siku ikaenda sasa sijui alipigaje picha bila kumechisha na simu yakee