Lucy Komba: Nimeishi na mr. Wiki mbili tu

Bina umenielewa pm??halafu nione mtu anajipendekeza kwakoo hata hawahangaiki na wewee ntameza mtu

nimekusoma binamu, nilikuwa ICU yani soon mngeaza kunichangia rambi rambi, maana warumi mie kifua kilinijaa maubuyu hatar, had nilichanganyikiwa, pa kusemea umbea sina tabu tupu mmh, sasa sijui naanza na umbea gan apa maana ni shiiida
 
Hhhhhaaaaa binam anza nayo keshoo bana, usiku umeingiaaa hhhhaaaa
 
uwiiii binamu kesho naona kama mbali au? maana naona kama ntasahau, apa nipo na peni na karatas naandika umbea nisije sahau binamu
 
Bina kuna nyimbo nimeiona kuna verse kachana Baghdad ni yeye au namfananishaa?? Wembamba gani huo?? Namuona hayupo sawaa
 
Najua sasa binamu? mi nipo zangu busy sa ivi naandaa umbea wa kesho, sijui nianze na umbea upi yani full shidaa. mwenzio siku iz nimeanza mafundisho ya kipaimara, nikipokea si utanisindikiza binamu? natak uvae lile gauni ka la dada lucy, watakomaje mtaa wa pili? na zile skuna wee
 
Hhhhhaaaaaaaa ntakusindikizaa,kwani unataka kuoa?? Au kipaimara inakuwajee
Gauni tutanunua pale aliponunua lucy na simu je nyeupe mi sina utanipa yako mi yangu ina rangi tofauti
 
Gauni ntakununulia kama la lucy ila lenyewe rangi ya kijani, we uta mechisha na wigi la kijani, watakutakaje? na simu usisahau galaxy note4 ile kama ya kajala kwa ajili ya kujipiga ma selfies
 
Hhhhaaaaaaaaa loooo wigi la kijani,gauni la kijani kwa kwel watazimiaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…