Yule ndo anaona kana tu alikua kahaba mzoefu Yaani wazungu wanasema retired ----- kuwaharibu tu mabinti wakimwona wanaanza ku tafuta wazungu pori kumbe ndani anatamani kukimbia.anabaki ohh single mothers.na bado
Yaani Hizo picha Kama wamepigia simu za tochi...mapozi sasa Kama wanacheza rede.KUna picha kaiweka uko insta dah, kweli huyo lucy mswazi, ni ngumu sana kuilewa, yani mswazi sana
Hyo kitchen party yenyew alivaa kama mchawi
Uraia si km mkojo kwamba ukinywa maji tu unatoka
Hivi anafanya hapo mahakamani Kama judge Au Vip maanake sijui elimu yake.maaanake Mtu akiwamsomi sana hata hajali sana na mwishowe anakua Kama chizi.kama professors wengi japo sio wote.Amejiaibisha mno. Sikutegemea Lucy awe limbukeni hivyo
Umenichekeshaa eti ile simu alikua anamechisha hhhhhaaaa na gauniii aisee watu mna manenoo
Alikuwa ana mechisha mwenzangu, gauni jeupe,viatu na simu nyeupe utamtaka sasa, ila nasikia simu ilitumbukia kwenye maji walivyoanguka yani nilicheka binamu nusu nizimie, nataman ningeziona izi picha, lucy nimempenda bure kwa kweli
Hivi wewe ni jinsia gani shemale?naona unatishia kuwasaga watu,angalia usije ukafumuliwa marinda town hapa au umekuja na mbio za mwenge.
Na badooo atahangaika mnoooo na watu wanamsoma
Mashauzi yote kwishnei
Aisee Heaven Sent nilicheka hiyo jana sijui juzii,kwa Sinta kuna vituko jamaniii huyo kaka alivyomjibu basi Ashu nae akamjibu tena halaf akamaliziaa usisahau kupunguza kula kama unaenda vitani samahani lakini aisee nilicheka mnooo,kule ndio kuna umbeaa aisee nishashindwa kujiunga,aisee
Alikuwa ana mechisha mwenzangu, gauni jeupe,viatu na simu nyeupe utamtaka sasa, ila nasikia simu ilitumbukia kwenye maji walivyoanguka yani nilicheka binamu nusu nizimie, nataman ningeziona izi picha, lucy nimempenda bure kwa kweli
Hivi anafanya hapo mahakamani Kama judge Au Vip maanake sijui elimu yake.maaanake Mtu akiwamsomi sana hata hajali sana na mwishowe anakua Kama chizi.kama professors wengi japo sio wote.
Simu ilitumbukia kwenye maji maskin akakosa cha kumechishiaa loo ila Lucy ni kibokoo hii harusi ni funga mwaka aisee
Haahahaha mimi niliisoma ile juzi nafikiri. Jana night nikairudia vizuri aisee Ashu ni kiboko. Nilicheka hadi nikapiga kelele. "Eti mtu kaingia jikoni kachukua sahani si msahani, sinia si sinia, anapakua kama anaenda vitani kesho".
Mwingine naye jana analalamika kimario chake kinataka tu kula nyama, kikikuta wine kinakunywa tu yote na kazi kujichezesha tu mziki. Mwingine akasema "napita tu", akajibiwa "pita tu na kanyagio lako kama twangio" nilichekaaaa uwiiiii
Na badooo atahangaika mnoooo na watu wanamsoma
Mashauzi yote kwishnei
Kushineh hogaa
Hivi wewe ni jinsia gani shemale?naona unatishia kuwasaga watu,angalia usije ukafumuliwa marinda town hapa au umekuja na mbio za mwenge.
Ahahah ahahaaa, nikiwa na wewe humu, hata boko haramu ikija lazima wasande, shikamoo