Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Hivi wewe ni jinsia gani shemale?naona unatishia kuwasaga watu,angalia usije ukafumuliwa marinda town hapa au umekuja na mbio za mwenge.
naomba nianze kwanza na kukusaga wewe na kukisokomezea mpini hicho kitoa ma....vi chako
Yule ndo anaona kana tu alikua kahaba mzoefu Yaani wazungu wanasema retired ----- kuwaharibu tu mabinti wakimwona wanaanza ku tafuta wazungu pori kumbe ndani anatamani kukimbia.anabaki ohh single mothers.na bado
amemaliza kuwachokonoa nyie ameona ahamie kwangu....akwendreeee na ikiwezekana ntamsaga na baba yake piaKwi kwi kwiwi!!, dah safi sana binamu
Mara sinta achambwee eti tokaa unyonyeshe unakeraa unabania koment, ta.ko lako
Huko ni noumaaa aisee halaf zile out of topic ni tamu balaaa,halaf wana majibu haoo
Niliona huyo eti pita na kanyagio lako nilicheka mnoo
Sinta yuko poa hata akichambwa anaachia tu koment
Walitumbukia mwenzangu na simu ndo ikawa kushnei, yani nilicheka sana, eti akawa anasema wabaya wake walitaka kumfanyia kitu mbaya, sasa sijui walitak kumfanyaje
Yani me nikiwa na stress zangu, naingia tu kwenye hizo blogs, nikitoka pale na usingizi unakuja. Watu wana maneno jamani hahahah
Hhhhaaaaaaaa,yule mbwa yupo anatoshaa kabisaa kufanya hiyo kazii
Hyo ndo boti waliyozama nayo, yani na hamu nione kweli walivyopinduka ilikuwaje
hili si ni jahazi au
Hyo ndo boti waliyozama nayo, yani na hamu nione kweli walivyopinduka ilikuwaje
Najua sasa mwenzio?? Ila ndo waliyozama nayo na bibie simu yake galaxy ikaenda na maji