Lucy komba: Sizai mpaka nipate uraia wa Denmark

Lucy komba: Sizai mpaka nipate uraia wa Denmark

Status
Not open for further replies.
Yule ndo anaona kana tu alikua kahaba mzoefu Yaani wazungu wanasema retired ----- kuwaharibu tu mabinti wakimwona wanaanza ku tafuta wazungu pori kumbe ndani anatamani kukimbia.anabaki ohh single mothers.na bado

hahahaha anaonekana yuko desperate flani
 
Mara sinta achambwee eti tokaa unyonyeshe unakeraa unabania koment, ta.ko lako
Huko ni noumaaa aisee halaf zile out of topic ni tamu balaaa,halaf wana majibu haoo
Niliona huyo eti pita na kanyagio lako nilicheka mnoo
Sinta yuko poa hata akichambwa anaachia tu koment

Yani me nikiwa na stress zangu, naingia tu kwenye hizo blogs, nikitoka pale na usingizi unakuja. Watu wana maneno jamani hahahah
 
Walitumbukia mwenzangu na simu ndo ikawa kushnei, yani nilicheka sana, eti akawa anasema wabaya wake walitaka kumfanyia kitu mbaya, sasa sijui walitak kumfanyaje

Pia et kuna gari lilikua linawafatiliaa haaaa simu jaman angeiachaaa upo na mumeo simu ya niniiiiiiiiii
 
Yani me nikiwa na stress zangu, naingia tu kwenye hizo blogs, nikitoka pale na usingizi unakuja. Watu wana maneno jamani hahahah

Yaan lakini pamoja na kumchamba sinta lakini ikitokea mtu achambe sinta atachambwaa haaaaaa diva alichambwa nilichekaa sanaa
 
Hyo ndo boti waliyozama nayo, yani na hamu nione kweli walivyopinduka ilikuwaje
 

Attachments

  • 1411242444925.jpg
    1411242444925.jpg
    53 KB · Views: 134
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom