Lucy komba: Sizai mpaka nipate uraia wa Denmark

Lucy komba: Sizai mpaka nipate uraia wa Denmark

Status
Not open for further replies.

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
SIKU chache baada ya kufunga ndoa , mwigizaji Lucy Komba amempa sharti mumewe ambaye ni raia wa Dernmark , Janus Stanley Landrock kwamba hatozaa naye hadi atakapokamilisha suala la uraia wake.

Akizungumza na paparazi wetu, Lucy alisema amemwambia mumewe akamilishe taratibu zote za nchini kwao ili yeye awe na uhalali wa kuishi nchini humo ndipo wazae watoto. "Unajua napenda sana kuzaa hivi karibuni lakini itashindikana mpaka mume wangu atimize sharti la kupeleka vyeti vya ndoa na kuonyesha mimi ni mke wake halali nchini kwao na nitambulike kisheria ," alisema Lucy Komba.
 
Attachments

  • 1411201401193.jpg
    1411201401193.jpg
    25.3 KB · Views: 2,906
Mmh cheusi dawa ina maana kumbe uliolewa ili upate uraia wa denmark? Bongo movie kweli mpo kimaslahi zaidi, kwani cheusi mwenzio aunty ezekiel nae ana uraia wa Dubai? Mmh sasa haya majanga
 
Uraia pacha haukuna tz..kwahiyo ataukana uraia wa bongo kama mwenzie masogange??
 
Uraia pacha haukuna tz..kwahiyo ataukana uraia wa bongo kama mwenzie masogange??

Mwenyew anataka uraia tu haijalishi nini, so ata akiambiwa akane ukoo wake nadhani ni kazi rahis kwake
 
Wanaoolewa na wazungu wana kaziiii,wazungu mapenzi yao ni ya ajabu jamaniiii
 
Aangalie manake akiwa na mtoto na raia itakuwa automatic ILA ndoa tu ni hadi miaka kadhaa ndio unapata permanent residence then ndo uje kuomba passport Yao aka kuukana uraia wa tz. Waxungu siku hizi anakaa na wewe ndani ya ndoa ikikaribia muda wa kupata makaratasi au permanent residence ana file divorce then work done inakiwa zero kama huna kazi inabidi urudi kwenu..kama Una kazi basi utaishi tu kqma raia wa kigeni ukitimiza masharti na no papers aka permanent au passport nyekundu. Lucy watch out coz waxungu wamejua shida ya wabongo ni makaratasi so muda wa makaratasi ukifika anafanya kusudi tu muachane na hapo karatasi hakuna.
 
Lucy nae kha!! Hata fungate haijaisha anadai uraia mmh, usikute hiyo ndoa ni fake tu ili apate uraia, maana mzungu mwenyew anaonekana tapel, kajisemea mbuta nanga, lucy ni kama housegirl kwenye movie aliyepata bahat ya kuolewa na mzungu dah
 
ni ajabu hasaaa. Kumbuka mbwa pia ni family member so kuna siku Mume anakiomba umhudumie mbwa pia a.k.aumpe haki yake ukikataa ndoa inaota nyasi au migogoro inaanza

Ya nini yote hiyo? Anaacha kuolewa na akina matonya wa mwembe yanga, maana utalala njaa ila una uhuru na maisha yako, sasa mambo ya kuwekeana masharti mara makaratas sijui mmh
 
ni ajabu hasaaa. Kumbuka mbwa pia ni family member so kuna siku Mume anakiomba umhudumie mbwa pia a.k.aumpe haki yake ukikataa ndoa inaota nyasi au migogoro inaanza

Mara mzungu agonoke umnyonye tigo,mara umuingizie dildo,,akuingizie tena we muhusika yaan ni kuchanganywa kama kachumbariii,mapenzi gani hayoo
 
Hpo ndio atajua utam wa tz wazungu watu wa ajabu sana

mama mzungu amefanya mabinti wengi wa tz waone wazungu ni kila kitu ILA sio. Wazungu wana mtindo wa maisha wa tofauti sana. Hata tigo penda isipende itatoka tu. Imagine pastor kabisa anasema Mungu hakuspecify ni tundu gani litumike kwenye 6 kwa 6 so matundu yote sawa tu
 
Mmh cheusi dawa ina maana kumbe uliolewa ili upate uraia wa denmark? Bongo movie kweli mpo kimaslahi zaidi, kwani cheusi mwenzio aunty ezekiel nae ana uraia wa Dubai? Mmh sasa haya majanga

Huyu ana haki adai sasa huyo aunty ezekiely apate uarai wa uae kwani huyo mumewe ni raia huyo mumewe mwenyewe alikuwa anishi kimachaale kila siku kukimbizana na polisi wa immigration kwa kutokuwa na viza
 
Mara mzungu agonoke umnyonye tigo,mara umuingizie dildo,,akuingizie tena we muhusika yaan ni kuchanganywa kama kachumbariii,mapenzi gani hayoo

alafu utashangaa siku anakuja na mwanaume alafu wote mnafanywa (I mean wewe na mumeo mnafanywa ) hahaha 3 sum inahusika pia... Wanadai Mungu hakusema sex ni ya mke Mume tu ILA hata mume na mume ni sawa. Haya ni maneno ya wachungaji wa kizungu. Ukiamua kuolewa na mzungu ukubali kugeuza nyumba yako sodoma wakati flani.
 
mama mzungu amefanya mabinti wengi wa tz waone wazungu ni kila kitu ILA sio. Wazungu wana mtindo wa maisha wa tofauti sana. Hata tigo penda isipende itatoka tu. Imagine pastor kabisa anasema Mungu hakuspecify ni tundu gani litumike kwenye 6 kwa 6 so matundu yote sawa tu

Na kwao 0713 ni halali ila itakua mda mrefu kashampa chezea uraia wewe,halafu wadenish hawana kitu chokest tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom